Search results

  1. numis

    Nichukue nafasi hii kuwashukuru zantel na halotel

    Kama kichwa kinavyoeleza ninachukua hii nafasi kuwashukuru kwa kuwa na nyie kipindi chote nilichokuwa na nyinyi sana sana zantel maana sikutegemea mtakuja kutugeuka kiasi hiki yani 1500 mb 500 kutokea gb 1.5 dakik 30 kutokea 160 na mbaya zaid hali isiyo ya kawaida halotel leo wameshusha rasmi...
  2. numis

    Huduma za mtandao wa Halotel haziridhishi

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu kuhusiana na mtandao wa Halotel. Binafsi nimetumia Halotel tangu ilipoanza; kwa bahati mbaya kama wiki tatu nyuma zilizopita nilipata matatizo nikawa nimepoteza laini yao sasa nikawa nimefanikiwa kwenda kwenye ofisi zao; ile nafika...
  3. numis

    nauza sony xperia L1 bei ya kutupa

    simu iko poa haina shida yoyote ina mikwaruzo mfuniko wa nyuma kwa alie tayari anicheki bei 160000 napatikana arusha 0624630914 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. numis

    sony xperia L1

    habari zenu wadau ninaomba msaada wa kujua nifanye nini juu ya hiy simu niliyotaja hapo juu iko poa sana kwakwel perfomance iko fast camera iko quality tatizo ni kwamba nikiichomeka kweny chaji ikiwa on yani sijaizima inafikia mwish asilimia 60 afu aiendelei ila nikiizima ina peleka vizur na...
  5. numis

    Tatizo la kubadili fonts Android 6.0 marshmallow

    Habari zenu wana jamvi natumia samsung grand prime plus iko vizuri na perfomance yake inaridhisha ila kuna kitu nashangaa mbona hii android 6 ukikatak kuongeza fonts nyingin tofaut na zile za kwenye simu inagoma kabisaa yani haitaki kabisa mwenye uelewa aje anieleweshe maana nakosa uhuru kabisa...
  6. numis

    Msaada:error message kwenye desktop yangu

    Habari zenu wanajamvi naomba mnisaidie kutatua hili tatizo nifanyeje kuliondoa inajitokeza sana maandishi ya error message mpaka inanikera tafadhali naomba msaada wenu kwa mnaoelewa zaidi
  7. numis

    Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    habari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck...
  8. numis

    Display:kuna tofauti kubwa kati ya pls tft(samsung)na ips tft za brand nyingine

    Wengi tunafahamu kuwa samsung ni kampuni bora ya simu duniani kwa kutengeneza simu nzur na za kisasa mbali na hilo kuna baadhi ya matoleo ya samsung kam j7 prime j5 prime na galaxy prime plus ni moja ya matoleo yanayotumia display mpya niliyotaj hapo juu ya pls tft iliyoboreshwa inayotengenezw...
  9. numis

    Naomba mnisaidie kutambua utofauti uliopo kati ya 4G na LTE

    Wadau naomba mnisaidie kutambua utofauti ulioko kati ya 4G na LTE maan kuna vifaa huwa vimiwashwa data huwa inapanda LTE na vingine huwa vinapanda 4G pekee sasa nataka kujua kama spidi zinatofautiana au ni majina tu??wadau
  10. numis

    Wadau naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung

    Ninahitaji kuroot samsung yenye android 6.0.1 marshmallow nimejaribu kila app ya ku root imeshindikana naombeni mnipe ufaham nitumie njia gani ingine..naamini mtanisaidia
  11. numis

    Kuhusu: Samsung Galaxy Grand Prime Plus

    Kwa anaetumia au alietumia anipe mrejesho. Iko vipi? Interms of perfomance na n.k
  12. numis

    Samsung j1 2016 kwa mnayotumia ikoje uwezo wake

    kuna rafiki yangu anatak kuniuzia samsung j1 2016 ila kabla sijaichukua naomben mnipe mdokezo iko vipi kwa wanayoifahamu au kuitumia specs zake nimezicheki ila nahitaji ushauri pia... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. numis

    Msaada kuhusu samsung j1 2016

    nataka kununua ila nataka ushauri kwa alietumia au anaetumia aniambie au kwa anaeijua vizuri?? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. numis

    Msaada

    Ivi kati ya processor yeny sifa quad core 1.2ght cortex A53 na yenye quad core 1.3ghtz cortex A7 hapo yeny speed na nguvu ni ipi?
  15. numis

    Processor ipi yenye nguvu kati ya hizi?

    Ivi kati ya processor yeny sifa quad core 1.2ght cortex A53 na yenye quad core 1.3ghtz cortex A7 hapo yeny speed na nguvu ni ipi?
  16. numis

    Msaada: Tatizo la harufu ya kinywa kutoka kwa rafiki/mpenzi

    Habari zenu wana JF, Unapokuwa na mpenzi wako au rafiki, ndugu wa karibu akiwa ananuka sana kinywa (mdomo), ni jinsi gani ninaweza kumwambia juu ya tatizo lake ili kuweza kutatua tatizo? Nina girlfriend wangu ananuka kinywa sana ila nashindwa kumuambia. Naomba nisaidieni ninashindwa namna ya...
Back
Top Bottom