Search results

  1. numis

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Japo sijawah kutumiaa sm xiaomi ila inaonekana wako vzr sana eeh kulingana na maelez yako??
  2. numis

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Oppo wana udambwi mwingi sana samsung hawan na ndio maan naikubali saana coloros iko bomba sana muonekan wake unavutia yani usiomb ukute oppo afu ina amoled screen ase ni tamu mno
  3. numis

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mungu atufanyie wepesi kama ninaona fainali tushatinga
  4. numis

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kabisa mkuu asidharau yani kila mechi angalau aweke wenye experience na gemu nzito na winning mentality all in all naby keita akiwa form ni mtu hatari sijapata kuona
  5. numis

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kiukweli nilishakata tamaa mno dah
  6. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    doh si mchezo....ila kwa ukimya wake lazima ulete maswal mengi sana afu nimeona amesem yuko mwanza na mm niko mwanza mbn hali ya hewa shwar kabisa
  7. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    kama utaungwa ulete mrejesho
  8. numis

    Halotel ndio mtandao dhaifu zaidi kwenye huduma ya Internet kwa sasa

    mkuu halotel kwangu wako njema yani kwa kifupi nawafaidi hamn sehem ninewah kwend wakaniangusha kuna siku nilienda maeneo ya porini uko yani voda walikuwa chali mara bar moja mara inapotea ila halotel ni h+ inakwenda vizuri mno hawa jamaa sijawah kuwajutia kutumia huenda labda na eneo ulipo...
  9. numis

    Halotel ndio mtandao dhaifu zaidi kwenye huduma ya Internet kwa sasa

    wewe sijui unatumia halotel gani..! halotel wako vizuri sanaa mkuu nina lain mbili kweny simu yangu vodacom na halotel ila halotel huwa inaniokoa sana upatikanaji wa huduma za internet huwa ni mzuri
  10. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wale watu bhana bado wapo ila nadhani vifurush saiv vimepungua japo still ni nafuu ila wakat unatak kuunganishwa na hiyo huduma be aware matapeli wako humu jamvini usije sema atukukuambia
  11. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hahaaa eti wanyonge na halotel je ni mtandao wa kina nani acha utani bhan voda is expensive na bando zao zinakimbia
  12. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni kwel kwa sisi walalahoi mkuu voda sio mtandao kabisa
  13. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Dah 10000 gb 2 kwel kupanga ni kuchagua
  14. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Walikuwa nacho ila na wao wametoa mkuu wsngu nikushauri kitu kama unataka mtandao weny unafuu sio lazima bando za usiku zantel wako vizur hat halotel ila kam unatak mtandao utaotumia huku unanungunika kila siku bas tumi ttcl utakuja kuleta mrejesho hapa mimi natumia san netflix kucheki movies...
  15. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kaka TTCL bado hawajajipanga haeajui nini wanatak ukitak kujua mtiti mwinhin mtumie mtu mesej kwa ttcl utakuj kuniambia mesej moja ina fail kila saa utarudia had mara tano siwez kutumia ttcl hata wafany mb rahis kias gan siwez kuwa mzalendo uku najiumiza zantel ni jibu la matatiz yote nilichelew...
  16. numis

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni 4G feki haina ishu tumia halotel mkuu au zantel ziko poa sana
Back
Top Bottom