Search results

  1. I

    Vigogo kung'oka CCM ni habari njema kwa Magufuli na timu yake

    Kama ni zile za wachawi na waganga wa kienyeji anaowawakilisha ili kumnadi huyo freemason wataenda nazo kuzimu hizo kura maana tayari AMIRI JESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA RAISI J.P.J MAGUFULI anasubiria kuapishwa tu.
  2. I

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Kama siyo kweli semeni uchaguzi wa kumptisha mgombea ulinyika lini na wapi na je michakato ilikuwa ya wazi na demokrasia kama ilivyo CCM?
  3. I

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Hawawezi kufika hata posta ya zamani mwisho wao kwa wachaga wenzao kimara suka tu sembuse Ikulu!? Pale pana wenyewe na wameshaanza kushika hatamu tayari.
  4. I

    Sababu za kutokumchagua Magufuli

    Umesahau kuongezea yeye ni mwanaume pekee anayeweza kuumiza vichwa vya malofa mpaka wakashindwa kuhudumia wake na familia zao wakaishia kupeleka mahaba yao kwa Lowa hasa, ama kweli huyu ni mtu hatari
  5. I

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Kiongozi watu wazembe, malofa na wavivu wa hesabu hawawezi kukubali kujishughulisha kufanya hesabu kupata matokeo halisi
  6. I

    Taarifa kwa umma kutoka CCM : Wazungumzia Kuhusu Mdahalo na Utafiti wa Twaweza

    Mtumie hili swali Lowasa atamuuliza MAGUFULI siku ya mdahalo kama ataweza kuingia kwenye mdahalo na kukabiliana na push up 7 za kudhihirisha afya.
  7. I

    UKAWA, Magufuli na hadithi ya 'Bondia anaependwa na kushangiliwa'...

    Hotuba itakuwepo mtandaoni kwenye website ya chadema na elimu bure mpaka chuo kikuuuuuuuuuuu!?
  8. I

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Tunaendelea kusubiria MALOFA KATIKA UBORA WA MATUMIZI YA MITANDAO
  9. I

    Star TV: Simon Simalenga anachambua siasa kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 2015

    Tunachambua kulingana na tunayoyaona na siyo kwa sababu ya kutaka kuwaridhisha watu wachache
  10. I

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Watu wanapenda ushabiki na kufuata mikumbo tu na kujikomba kwa lowasa wakati yeye ni mwenyekiti wa wakora na ndiyo maana wanaomlia pesa zake wanamfuata kila mahali
  11. I

    Tablet ya Samsung inatafutwa

    Ninayo yangu ya Huawei ya ukubwa 10.1 inaweza kupiga kama simu pia na ina speaker za nje na jumamosi itakuwa inamaliza wiki mbili na risiti zake zipo. Kwa sasa niko mwanza.
  12. I

    Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    Tunajaribu kuapata idadi ya wamarangu na chasaka (vyasaka) wote walioko huku jamvini
  13. I

    M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi.

    Pole sana Kijana maana huyu jamaa nilimfahamu kwa mara ya kwanza nilipokuja wilaya ya mwanga kwenye majukumu ya kikazi na likuwa kijana mchangamfu sana nilipofuatana naye kwenye ziara ya kuwapa pole wahanga wa kimbunga maeneo ya ugweno na alikuwa mtu anayependa maendeleo ya vijana na ana uchu...
  14. I

    KIgamboni Serikali Imelala: Kuanzia saa 2 Usiku nauli hupanda kuania TZS 500 hadi TZS 1000

    Binafsi nina furaha sana kuhusu mbunge wangu kuwemo humu jamvini na kujadili matatizo ya jimbo letu letu moja kwa moja lakini tatizo kubwa linalozungumziwa hapa sidhani kama ni la kigamboni peke yake liko maeneo mengi sana nchi kwetu na linakera sana ila naomba kuchangia hoja hii kwa mtindo...
  15. I

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Sasa imani yangu juu waisilamu safi wale ambao tuliwazoea kuwa ni wakarimu na wenye dini inayovutia ile ambayo tukiwa tungali wadogo tulitamani kujiunga nayo lakini wazazi wakatutaka tufuate dini ya wazazi KUMBE BADO WAPO KULIKO HAWA WAHUNI WACHACHE WENYE KUVURUGA DHANA NZIMA YA UISILAMU...
  16. I

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    karibu sana dada yetu uwe msema ukweli wa moyoni na siyo hisia za kichama na ushabiki
  17. I

    CV ya Director General TANAPA Mr Allan Kijazi

    Hivi hajawahi kuwa Head of HR. Wa TANAPA Miaka 2008? Akiwa yeye na Mr. Dambaga ambaye Alikuwa Director of Finance & Administration kama nitakuwa nimekosea unaweza kunirekebisha.
  18. I

    CHADEMA mmeanza kuzungumzia Ubunge Arumeru mashariki kabla hata ya Marehemu Sumari kuzikwa?

    Tena hizi ni siasa chafu sana kwa baadhi ya watu wachache ambao wanatumia vibaya keybord zao kuwavuruga wanachadema na viongozi wa kamati kuu kufanya maamuzi sahihi. HII NI TABIA CHAFU NI KAMA WATOTO WANAOGOMBEA URITHI WAKATI HATA MAITI HAIJAZIKWA.
  19. I

    Tusiwavuruge Viongozi wa juu wa CHADEMA kwenye maamuzi Muhimu kuhusu Arumeru Mashariki

    Nadhani hapa ndipo tunapokosea na kuwazuia hata wengine wenye uzoefu na kujua baadhi ya mambo muhimu yanayohusu chama kwa kuwaogopa watu wachache walioko humu wenye jazba na tamaa ya madaraka na kupiga kampeni chafu badala ya kuishauri Kamati Kuu kufanya maamuzi sahihi kwa manufaa ya chama.
  20. I

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Hata mimi siungi mkono hoja ya Dr. Silaa kugombea ubunge kwa sasa na sio 2015 anaweza kuchukua hata mapema zaidi ya hapo ila suala kumteua Nasari ni suala la Kamati kuu siyo la sisi kwenye keybord ni la kamati kuu.
Back
Top Bottom