Search results

  1. TOWNSEND

    Vyoo vya kukaa vimenishinda

    Tatizo sio aina ya choo.... Uustaarabu unahitajika kama maji yapo na toiletpaper vipo sioni tabu yeyote... Usafi ni lazima
  2. TOWNSEND

    Kwanini miradi mingi inayoanzishwa na Serikali haina matokeo chanya?

    Kwanza elimu....halafu hii miradi hatuambiwi kwamba ni kodi yako.. Utasikia mfano treni ya mwakyembe khaa uwanja wa Moapa....kwa hio hakuna mwenye kuthamini
  3. TOWNSEND

    Hassan Ngoma Clouds 360 tafuta kazi nyingine, uchambuzi umekushinda

    Mtamlaumu bure... Kwa sasa wengi ni waongo mdomoni lakini mioyo yetu inajuwa ukweli
  4. TOWNSEND

    Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

    Hapo kwenye huduma fafanua vizuri..... Maana Kuna.....
  5. TOWNSEND

    Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Machali bado mdogo hustahili kuongea sana tengeneza maisha yako ya baadae
  6. TOWNSEND

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Akili za kijinga unafikiri ni sawa nauli zipande? Mwenye bus Hana hasara watakao umia no maskini ujue hata mafuta ya taa yatapanda
  7. TOWNSEND

    Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Ukitaka kujuwa mbowe ni kichwa angalia panavyokuwa n.a. utulivu wakati akiongea awe bungeni au jukwaani.... Tizama wengine hasa mawaziri
  8. TOWNSEND

    Mnyika na Wananchi wa Mbezi Mwisho waandamana kupinga X za kwenye Nyumba

    Ila kumbuka kuna ' watu wanalima ndio maana umeshiba na umeweza kupost humu yote hayo kuna watu wamehusika... Acha kusema watu
  9. TOWNSEND

    Rais Magufuli atatua kero ya kivuko cha Furahisha Mwanza, Daraja mbioni kufunguliwa

    Leo nimeliona...mmmm hakuna wavukaji labda siku ya mpira watakaotoka kirumba..... Nimeona n.a. double road ya airport... Ila double road ya tengeru to Arusha mmmmmmmm nzuri
  10. TOWNSEND

    Profesa Lipumba: Namsubiri Maalim Seif aje ofisini nimpangie majukumu yake

    Nikitizama yanayoendelea nchi yetu kwa sasa sioni mbele ujinga mwingi sana.....
  11. TOWNSEND

    Askofu Shoo: Watanzania wenye nia njema tunamuelewa Rais Magufuli.

    Sasa nimeelewa kwa nini Siku hizi hata kanisani kuna milango ya chuma na ulinzi
  12. TOWNSEND

    Kwa ujinga huu ni ndoto Tanzania kuwa 'Super Power' kwenye ukanda wa EAC

    Kumbe ndio Maaama raisi anateua wabunge halafu anawapa uwaziri
  13. TOWNSEND

    Arusha: Mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga wafungwa

    Mie navyo jua ukiwa pale mpakani...unaweza vuka au kutumia pessa yeyote. ukiwa Kenya au tz.....mfano wewe mtz ukiwa upande wa Kenya unatumia tsh
  14. TOWNSEND

    Toka lini wapinzani kupongeza mwana CCM??

    No no no upinzani sio uadui..ndio maana siku hizi huoni watu mpira ukiisha wanapigana....dkk 90 zikiisha wanashikana mikono....be brave
  15. TOWNSEND

    Dar: TPA yazuia Makontena 262 yenye Mchanga wa Madini MOFED Kurasini

    Mhhhh maajabu Mimi nilikuja kahama 2002 nilikuta kama hizo container zikisafirishwa kwa escort ya ffu gari tatu means moja Mbele nyingine Kati na nyingine..... ilikuwa yanakaa Kati ya njia tulikuwa tunalazimishwa kupaki pembeni ili yapite... Tunatakiwa wataalamu wakae Chini wafikiri Nini cha...
Back
Top Bottom