Search results

  1. Ginner

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Mkuu..hapo kwako unauza bei gani....naomba nikupe offer ukajenge kwa wenzio
  2. Ginner

    Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

    Unakunywaje juice kariakoo...sio kunywa tu hata kula kariakoo ni tatizo
  3. Ginner

    Tom Cruise VS Ryan Reynolds, Nani Utampa Tag ya "MKALI WA ACTION"

    Mkuu mbona unafananisha nchi na ardhi....Tom hana mpinzani hapo
  4. Ginner

    Muungano wa kiuchumi Jumuiya ya Afrika mashariki hauwezi ukatokea

    Kipindi sahihi cha kufanya hii economic coalition ilipaswa kuwa enzi jumuiya inaundwa na nchi tatu. ( Kenya, Tanzania na Uganda). Then nchi nyingine zikiomba uwanachama, wao wafit katika misingi iliyowekwa. Kama ilishindikana kuwa na soko huria pamoja na common currency kipindi icho, sitegemei...
  5. Ginner

    PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya manunuzi inayofanywa na Procurement Unity. Bado urasimu unaendelea

    Uzuri intention to award ikitoka, huwa ina toa room kwa washiriki kulalamika. Its better ukafuata hizo hatua. Japo kitendo cha kusema pia unataarifa za ndani kinaweza kukutia hatiani kwamba unajihusisha na rushwa. Nenda nao taratibu na kwa akili.
  6. Ginner

    PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya manunuzi inayofanywa na Procurement Unity. Bado urasimu unaendelea

    Pole sana tajiri....inawezekana the lowest bidder bado akawa ame exceed budget ya taasisi husika na kupelekea kutangazwa upya. Na kama ilikuwa ni invitation ya watu kumi, wanaweza waka extend idadi ya wazabuni kuwa wengi zaidi kwenye re-advert ili kupata ushindani mkubwa zaidi.
  7. Ginner

    Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    List imekuwa updated...iliyopostiwa mwanzo ni tofauti
  8. Ginner

    Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    Mwana falsafa amekosekanaje kwe ye hii list?
  9. Ginner

    KERO Lini Serikali itaondoa changamoto ya kivuko Ferry?

    Kati ya wavunge wanaofanya vizuri zaidi hapa mjini. Wa kigamboni ni mmoja wao. Changamoto iko kwa serikali. Mfumo wa uendeshaji wa vivuko hauko efficient. Tamesa wameshindwa kabisa kama walivyoshindwa DART kwenye mwendo kasi au tanesco kwenye umeme. Serikali haiwezi kufanya biashara, huo ndo...
  10. Ginner

    AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

    Huwezi kuelewa impact ya ai kwenye uchumi kama unaitumia kutengeneza vikaragosi na kuvupost online kijana. Nakupa mofano michache. Kuna mamia ya vijana waliokuwa wanahudumu katika call centers za makampuni makubwa wamepoteza Ajira. Na effect itakuwa kubwa zaidi endapo makampuni mengi yata adopt...
  11. Ginner

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Aliepungukiwa ni kanisa kwa kumpiteza kondoo wake wala marehemu hana haja nao. Imeandikwa, mchunga kondoo mwenye kundoo kumi, akimpoteza mmoja, ataawacha wale tisa na kumtafuta yule aliepotea mpaka ampate. Akipatikana atamkumbatia na kumrejesha kundini na wenzie. Soma maandiko tajiri. Achana na...
  12. Ginner

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Na kanisa wasiposhiriki kwenye shughuli za mazishi, Marehemu anapungukiwa nini?
  13. Ginner

    Non alcoholic wine

    Mkuu...in real sense kuiavoid alcohol ni ngumu sana. Tunda lolote lililoiva lina kiwango flani cha alcohol . Japo ni chini ya 1%
  14. Ginner

    Non alcoholic wine

    Sio wine tu, zipo de-acloholised beer na de-alcoholised Vodka. Shoppers wanazo. Heinken beer isiyo na kilevi wanauza 8000. Same kwa corona beer bila kilevi. Wine pia zipo nyingi sana ambazo hazina kilevi.
  15. Ginner

    Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Lugalo naona wanasafisha upande wa pili, sijui ni nini wanaweka pale
  16. Ginner

    Nawaomba tuendelee kususia Bidhaa zao hawa jamaa kama kweli tupo nao

    Unashauri tususie Pepsi tunywe Mo cola kweli shekhe?
  17. Ginner

    Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Mzee hana kazi kwa miaka 14, anabaki nyumbani bila kujishughulisha kwa miaka yote hiyo? Kuna tatizo mahali. Alishindwa hata kufuga kuku aisee ...huko kazini walikuwa na haki ya kumtimua sio siri.
  18. Ginner

    Ni benki gani ina riba nafuu?

    Finance manager huna 5milioni boss...tena na kelele kibao
  19. Ginner

    Msaada: Je, ninaweza kuwafungulia kesi ya jinai wafugaji wanaochungia mifugo shambani kwangu?

    Kudeal na mfugaji hasa wamang'ati kwa njia ya mahakama ni ngumu sana. Hata mahakama ikihukumu ulipwe fidia, ni ngumu sana kuipata toka kwa jamii ya kifugaji. Pole sana hawa jamaa ni wasumbufu sana. Ukiona unazidiwa, mwaga mboga na wewe. Weka sumu tu au paka asali kwenye majani ng'ombe wale...
Back
Top Bottom