Mkapa mwizi tu, yeye ndio chanzo cha kufuga mafisadi..amefanya kipi kizuri? Amewapigia debe mafisadi na chama chake kuendelea kula nchi na mali za uma, halafu leo anauliza serikali ya chama chake imejenga viwanda vingapi, kama sio upuuzi?
Binafsi naungana na hoja ya Nyerere.. Mkapa alipwe peshen...
Mkapa bora aachane na siasa tu, maana Arumeru kwenye kampen alisema wanao hoji suala la ubinafsishaji ni wavivu wa kufikiri, then leo anasema ni tatizo la uongozi... sasa anatudhihirishia jinsi uongozi wake ulivyokuwa dhaifu wakati yeye akiwa kiongozi mwenye dhamana.......basi na ahukumiweee!!
serikali mbona haieleweki? Awali walitoa taarifa tume itaapishwa mwishoni mwa mwezi huu tarehe 30 ili mei mosi tume ianze kazi rasmi... weken vitu na taarifa za kueleweka kama ni tetesi basi ijulikane!!
Hayo maneno yaliyokuwa bolded, mkubwa soma news na uzielewe..chadema hawakupeleka rasimu ya katiba, isipokuwa walipinga rasimu iliyotolewa na serikali kwa kuwa haukutolewa muda wa kutosha kujadiliwa na kutolewa maoni na wananchi..
Ila kama unamaslahi yako binafsi, mkuu endelea, uchumi wa nchi...
hiv ni kwanini usijishangae wewe unaitetea hiyo sh 70,000 ya posho? Ni kweli ni kiasi kidogo lkn kwann nyie magamba hamtaki kukiachia pamoja na udogo wake?
Katika jamii yeyote ile duniani, tunajua kwamba katika kuvuna, ni lazima kuwe na shamba lililotayarishwa, likapandwa, na likazaa. Na ni vivyo hivyo 2navyolitizama suala hili la maendeleo, Mh.Lema, amekuwa mchango mkubwa sana ktk jamii ya kitanzania bila kuangalia jimbo lake husika kuwaandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.