Search results

  1. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Hakuna Cha tafiti ni wajinga ndio walikuwa wanaulizwa. Kwani wewe unaona haya yanayoelezwa hapa ni uongo? πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/reel/C6GjZo7szsk/?igsh=bm1lY2RuN3JmNGFx
  2. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Ukweli upi Sasa? 🀣🀣 Mbona mnalazimisha mliyoshindwa? 😁😁😁😁 Nimekueleza Samia kawapelekea umeme,kawanunulia mtambo wa Utafiti,kawajengea soko la Madini na kawapelekea Huduma za ugani wa Madini za GST kule Chunya. On top of that kawapa eneo na amewarihusu wachimbe Hadi kwenye vitalu ambavyo Watu...
  3. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Sasa kwani vikwazo vimewekwa na Samia ? 😁😁😁😁 Sana sana Samia ndio anavipunguza kusaidia watu wa chini kufanya biashara
  4. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Mwendazake hana huo ubavu wa ku deal na maisha ya watu yeye alikuwa busy na Sgr,bwawa na mambo kama hayo ambayo hayana maana Kwa maisha ya individuals wa huko Chunya,Katavi and the likes. Mali ipi imeuzwa na Kwa bei gani? Hata Mkapa mlisema ameuza Mali ya Nchi ila ndio hizo Bado zipo 🀣🀣
  5. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Watu hawaelewi hata dhana ya CAG.Hivi wao wanadhani let say Machadema wanashika Dola ndio hela zitaacha kupotea? Maya be zitapungua Kwa kiasi tuu
  6. ChoiceVariable

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Unaweza nitajia fisadi hata 1 ambae alihukumiwa na mahakama ya kifisasi na Mimi nikutajie waliofungwa awamu ya 6?
  7. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Sarafu kuwa na thamani ndogo Dhidi ya Dola has insignificant effect kwenye uchumi
  8. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Niwaonee huruma Kwa sababu zipi? Wewe huko kwenu Chunya kazi ya mama hujaona? Au unajibalaguza hapa? Ona Chunya ilivyokuza Mapato ya ndani chini ya Uongozi wa mama hapa πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/p/C5iCLtKNKkU/?igsh=eHhqMGVtczBtanM1 Unajua sababu? Mama amegawia mtambo wa kutafuta Madini...
  9. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Kwani Shilingi ya Tzn kuwa dhaifu imeanza Leo? Mwisho udhaifu wa Shilingi Imezuia miradi ya serikali na Huduma za jamii? πŸ˜‚πŸ˜‚
  10. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Kiwanda Cha fresh juice,Kuna Kingine Cha Samaki za kusindika kinatarajia kuanza kuuza soko la Ulaya Kiko Mazwi kule. Harafu anatokea mpumbavu mmja na wafuasi wake anaongea shit kumhusu Samia ,kama ni masuala yenu ya udini,jinsia,siasa majitaka na ukabila sawa endeleeni ila kwenye delivery...
  11. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Sasa ipo hivyo Nchi nzima sio tuu hapo Rukwa ni Kila Mkoa. Unakujua Kalambo? Sasa kule Vijijini watu tunafika kununua mazao sehemu zilikiwa hazifiki,nilipiga picha Kijiji Kimoja kule mto Kalambo ,ona daraja walilojenga
  12. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Tozo zipi za kwenye miamala ambazo zimeathiri uchumi wako? Maana Kodi ya serikali ni very minimal
  13. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Mimi na Biashara zangu za mazao saizi tuna uhakika wa kuuza Kwa NMC maana Serikali ya mama inanunua na pesa tunapata sio kama awamu ya Magufuli πŸ˜‚πŸ˜‚ Wasimulieni wajinga wenzenu kwamba Hali ya Uchumi wa mama ni mbaya kuliko Kwa Magufuli 🀣🀣
  14. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Mimi Rukwa ni Mwenyeji na nakuja sana huko Kwa shughuli zangu ni Mkoa naujua woote kuanzia alipoachia Magu Hadi Sasa. Investments zimefunguliwa na Samia kama zote. Nenda Ile Barabara ya Majumba 6 nyuma ya kiwanda Cha Energy kaone nini linajengwa pale. Nenda Barabara ya Kasisiwe kaone nini...
  15. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Huoni humu mnavyopapadika Kwa maneno wakati Mimi naweka takwimu,picha na video. Wakati Magufuli anasingizia Sgr,bwawa and the likes Samia anajanga hayo yote bila visingizio na mengine meeeeengi ikiwemo maelfu ya Ajira Kwa Vijana ambao Magufuli alishindwa Kuajiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  16. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Ndio maana nakwambia kwani wewe ukisema Magufuli ndio better itaondoa ukweli kwamba kule Rukwa -Samia amefungua Barabara Vijijini ambavyo vilikuwa havina mawasiliano? -Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga -Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga Barabara...
  17. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Atapataje shida wakati darasani tunajaza majibu sahihi? Yaani Mimi Nina div 1 kuanzia Std seven hadi form 6 atapataje shida? Nyie wajinga ambao mnatumia hisia za chumbani kwenu kulinganisha na mnakimbia takwimu ndio Walimu wenu waliokata shida 🀣🀣 Takwimu za uhalisia hizi hapa πŸ‘‡
  18. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Huna hoja lazima ukimbilie kwenye matusi πŸ˜‚πŸ˜‚ Narudia kukwambia Samia is way better than Magufuli,nakupa takwimu ndogo tuu hapa πŸ‘‡
  19. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Mimi sijawahi kutishwa na picha ,Huwa natishwa na takwimu za uhalisia elewa hivyo.πŸ‘‡πŸ‘‡
  20. ChoiceVariable

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Ndio Mimi ni mwerevu maana nafanya judgement Kwa hoja, takwimu na uhalisia sio moyo. Narudia kukwambia Samia amemzidi Magufuli mbali sana,bila kujalisha wajinga wengi wanasemaje.
Back
Top Bottom