Search results

  1. baba yetu

    Mitambo mipya ya kufua umeme wa gesi ikiwa tayari kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya kufungwa

    Namshangaa sana mnyama mbuzi, ana njaa kweli kweli anapelekwa ili apate mlo bado tu anafanya mgomo.( mbuzi kagoma kwenda)
  2. baba yetu

    Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Kama upo chini ya miaka 45 na unafanyiwa hayo, acha ufanyiwe tu hakuna namna. Hivi unashindwa kumleta jamaa kwako yeye na Mke wako ukawapa kichapo wakatajana??, mi niliwahi kufanya hivo mwaka juzi, Mke Wangu na jamaa walikuwa wanafanya kazi ofisi moja. Nilitumia mbinu za kumleta jamaa nyumbani...
  3. baba yetu

    Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    We Mwanaume gani unaogopa kupigana???, wanaume wa daslam bana!
  4. baba yetu

    Walinzi wa Ikulu ya magogoni huu sio utanzania

    Hata Mimi huwa napiga. Kosa tu nikukute unaranda randa kwenye Mazingira bila mwelekeo utajuta tuu
  5. baba yetu

    Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Wewe naona unakutana na wanaume wala biriani. Wanaume wa darasalaama.
  6. baba yetu

    Dodoma: Mbunge wa CCM, Deo Sanga ataka Dkt. John Magufuli awe Rais wa maisha

    Sisi wengine tuko mbali na luninga, hicho kilikuwa kipindi gani bungeni?, bila shaka ulikuwa mswada wa kugawa sifa.
  7. baba yetu

    Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Huyu anaelalamikia trillion 1.5 bila shaka ni mkwepa kodi, achunguzwe vizuri pia Nina Mashaka na uraia wake.
  8. baba yetu

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kiama kipo soma maandiko matakatifu. Pia uwe na uhakika kuwa MUNGU yupo kwa kuangalia maajabu yake, YEYE hulitoa jua mashariki na kulipeleka magharibi, pia humuumba mwanadamu kutokana na Maji DHALILI sana (manii/sparms). Huyo ndo MUNGU
  9. baba yetu

    2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

    Ndugu unaamkia siasa unaidhulum familia yako
  10. baba yetu

    Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

    Mbona unaelekeza kwenye kideo?. Sisi ni waswahili tena watanganyika, wew hicho kideo kifafanue tukielewe wote kama umedhamilia kuelimisha
  11. baba yetu

    Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

    Tunashughulishwa na ya wenzetu yakwetu yanatupita. Tuwe marafiki Wa nyoyo zetu kwanza, kila binadam amezaliwa kwa muda wake, na kufa hivo hivo, kwanini tushabikie ya wenzetu tena maovu??. (Uzinifu?). Tuwaombee tu wamjue. MUNGU
  12. baba yetu

    Wake kwa waume

    Dah! Wakumbushe na kusali kabla ya kulala
  13. baba yetu

    Kiukweli mwanamke anatakiwa kutritiwa kama malkia, wazungu wanajitahidi sana

    Mmmh kina Delila hawa wanahitaji kuishi nao kwa akili nyingi
  14. baba yetu

    "Hiv unajua Maharage ukiweka kitunguu saumu yanakua kama nyama"

    Hata uji ukiuwekea chumvi mtamu kweli. Mahindi yametoka mapya January hii
  15. baba yetu

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Wew ndo umenena ukweli. Asie iweza kasi ya kanisa (maskini) aende upande wa pili wanaochangishana mia mia.
  16. baba yetu

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Kila kitolewacho kwa njia ya BWANA ni sadaka. Au mpaka tutoe kondoo?
Back
Top Bottom