Search results

  1. Nrangoo

    Usafiri wa mwendokasi kituo cha KIBO ni kero kubwa

    Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO. Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami. Je kama mmeona kuna...
  2. Nrangoo

    Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
  3. Nrangoo

    Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

    Habari ya asubuhi waungwana. Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo. Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
  4. Nrangoo

    Gharama za makato kutoka Skrill kwenda Airtel money

    Habari wakuu Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money! Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
  5. Nrangoo

    Vijana 56 wakacha mradi BBT

    Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow). Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini. Bado Serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza ...
  6. Nrangoo

    Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  7. Nrangoo

    Nahitaji turubai ngumu

    Habari wadau Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji turubali ngumu kama zile zinazofunikia mizigo katika malori makubwa , sihitaji mpya ila itakayopatikana iwe nzima isivuje, hata kama itakuwa ina michoro , picha au matangazo ilimradi iwe ngumu . Mwenye nayo tafadhali tuwasiliane PM
  8. Nrangoo

    Inahitajika Toyota corolla

    Wakuu nimeambatanisha na picha hapa chini, mwenye nayo naomba tuwasiliane. Njoo na offer yako
  9. Nrangoo

    TBC kuanza kuonesha league mbalimbali na tamthilia

    Hayo yamesemwa na waziri wa habari Mh Innocent Bashungwa wakati kamati ya bunge ilipotembelea ofisi za TBC leo. Waziri Bashungwa tiyari ameshatoa maelekezo suala la visimbuzi vya TBC vianze kupatikana pia ameagiza suala la hati miliki la kurusha michezo mbalimbali lifanyiwe kazi haraka. chanzo...
  10. Nrangoo

    Azam Dish signal hazipatikani

    Habari wadau. Ni takriban week moja hivi Signal za receiver ya Azam kwa mimi ninayetumia Dishi signal zimekuwa za kubahatisha sana, mara zilete scratch mara zizime zisisome kabisa! Yani ni taabu tupu. Vipi wenzangu nyie mnaotumia dish hii hali haijawakuta?
  11. Nrangoo

    Je, inawezekana huyu anatumia bangi?

    Wadau kwema? Nipo mbele yenu kuomba kufahamishwa kuhusiana na huyu kijana ambaye nina wasiwasi ameanza kujiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya ambayo ni bangi. Cha kwanza. Kijana kampani yake asilimia 70 nimehakikisha wanatumia bangi. Cha pili. Huyu kijana anakula kama mchwa, yani ni...
  12. Nrangoo

    Bank ya EQUITY waanza kutoa huduma ya Visa USD

    Ndugu mteja, sasa unaweza kupata kadi yako ya VISA USD kwenye tawi lolote LA Equity Bank na ufurahie malipo bila makato yoyote.
  13. Nrangoo

    Bank zinazosapoti Original Credit Transaction

    Habari wakuu . Nimepata changamoto ya kuhamisha fedha kutoka Skrill kwenda Visacard ya bank ya Equity. Transaction was failed! Na nilipowauliza ndio wakaniambia bank husika haisapoti Original Credit Transaction (OCT). Naomba kujuzwa bank zinazosapoti hii huduma ya kupokea hela kutoka...
  14. Nrangoo

    Kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda Visacard/Bank

    Habari wakuu. Naomba kufaham bank ambayo inakubali kupokea miamala kutoka Skrill. Naomba kufahamu na rates au makato yao kwa muamala yapoje , pia na monthly charges.
  15. Nrangoo

    Skimming ya Cement Vs White Cement

    Habari wakubwa Katika harakati za Ujenzi naomba kufahamu kwa wajuzi na wazoefu katika hatua hii ya skimming kwenye Jengo ukuta wa nje. Kimsingi ningependa kufahamu skimming ipi ni bora na imara bila kujali gharama kati ya inayofanyika kwa kutumia cement ya kawaida na ile white cement...
  16. Nrangoo

    Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

    Katika sekta ya utalii nchini ambayo Rais Magufuli amesema itarejesha huduma zote wiki ijayo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amebainisha kuwa tayari baadhi ya watalii wameshaanza kuingia nchini.
  17. Nrangoo

    House Speaker Pelosi calls Trump's name appearing on stimulus checks 'shameful'

    House Speaker Nancy Pelosi on Wednesday called the decision for President Donald Trump's name to appear on stimulus checks amid the coronavirus pandemic "shameful." The President's name will appear on checks sent to Americans to combat economic fallout from the spread of the disease in a...
  18. Nrangoo

    Saudi Arabia aendelea na uzalishaji baada ya mazungumzo ya OPEC kushindikana

    - WhatsApp group for OIL Traders Only! WTI/BRENT Join Via Link Oil Traders🛢️
Back
Top Bottom