Search results

  1. Nrangoo

    Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    Hii nchi kufariki bila kutolewa maelezo ya kujitosheleza ni Jambo la kawaida Sana, as if aliyepoteza maisha ni mbwa aliyekuwa anajaribu kukatatiza Barabara. Its very sad
  2. Nrangoo

    House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Moshi mjini

    Inahitajika single Room kubwa self, nyumba isiwe mbali sana na Barabara, ikiwa na umeme wa kujitegemea inapendeza, pasiwe mbali sana na Moshi town. Nasubiria mrejesho
  3. Nrangoo

    Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Namna gani wanasiasa wanavyotumia Dini na Michezo kutupumbaza ili wao waweze kutimiza maono yao
  4. Nrangoo

    Manara, huo mchezo wako tumeushitukia

    Atumie pesa zake mwenyewe
  5. Nrangoo

    Mufti Abubakar: Ijumaa 19/4/2024 ni siku Maalumu ya Kuliombea Taifa juu ya Mvua zinazoendelea kunyesha

    Mmeanza kumsumbua Mungu, Kwani binadamu hatukupewa akili ya kuepuka majanga?
  6. Nrangoo

    Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

    NHIF ndio imejifia hivyo, ni mwendo wa kutoa cash sasa hivi
  7. Nrangoo

    Nikiikumbuka kauli hii ya Dr Askofu Malasusa naumia sana kwa nini amekuwa Askofu tena wana jf nisameeni.

    Unazungumzia TUDARCo iliyokuwa Kinondoni kabla ya kuhamia Mwenge?
  8. Nrangoo

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu nahitaji unisaidie kuagiza smart media player hii.
  9. Nrangoo

    Kwanini sishiki mimba?

    Work harder & Pray
  10. Nrangoo

    Kocha Benchika unaharibu CV yako

    Huo ndio ukweli, Ni kama vile mfugaji anataka kumkamua ng'ombe ambaye hajapewa majani wala maji, unategemea nini?
  11. Nrangoo

    TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Poleni sana ndugu
  12. Nrangoo

    Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Dah V8 imeenda hiyo. Hii biashara inaonekana inalipa mpaka mtu anaamua Ku risk gari la Milioni 100+
  13. Nrangoo

    Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    Zingatia neno "kutolewa bikra"
Back
Top Bottom