Search results

  1. thepresidar

    Natafuta nafasi ya kazi(social security/protection administration)

    9 years later....Kijana Usikubali kukata/Kukatishwa tamaa wish some of you guys c’ld see me today...Nilipoandika kuna walionoshauri vizuri ila wako walio jaribu kutoa kebehi but The Sky is not the limit while people are walking/workin on space/mars
  2. thepresidar

    Mwanaidi Maajar anaandaliwa kwa kazi na mpango maalum

    Mtoa mada naheshimu mawazo yako lakini tatizo langu watu wengi sjui kwa nini hapa jf mefanya swhemu ya kupinguzia stress zenu za maisha,hakuna mtu ambae anaeza teuliwa bila vigezo maalum hata akiwa wa dini fulani mi nadhani kabla ya kusema fikiri
  3. thepresidar

    Bunge letu si bunge tukufu

    Ndugu zangu jf natumai sote wazima nimekuja humu leo ku share mawazo nanyi.Leo nilikua na tazama BUNGE Nikamsikia mh moja akasema"Kuna WaBunge humu ndani mnapata mimba zisizo tarajiwa mbona hatusemi au mnataka tuwataje?Itafikia siku tutawataja hadharani" Sasa nikakajiuliza hivi who's worked...
  4. thepresidar

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    think we need another strong opposition political parties nyie wengine mnatubabaisha
  5. thepresidar

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Ahh watanzania wenzangu na dhani tuna matatizo makubwa ya upeo wa kufikiri...Hivi inakuaje wewe unalazimisha mtu fulani ndo akamatwe kwa kosa la mauwaji?hebu kabla hujandika upumbavu fikiri coz watu wengi wana pita humu kusoma maoni tofauti..Police wana kazi na taratibu zao na dhani kama ungekua...
  6. thepresidar

    Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    1.Unaelewa maana ya Deplomasia? 2.Wewe kama mtanzania umeifanyia nini nchi yako 3.Tunaelekea kwenye EAC..ni vizuri tushauriane mambo ya msingi sasa wewe una lalamika barabara kuitwa jina la mzee moi hivi kipi bora kuwa na barabara au kutokua nayo?mi nadhan tusipende kulalamika sana vitu vingine...
  7. thepresidar

    Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    Hahahaha sasa jamani hata hili nalo mnatoleana maneno mazito?kweli Tanzania asili yetu maneno tuuu!!!wake up people's huu so mda wa kulalama juu ya majina ya barabara nchi ipo kwenye cross road wewe unawaza jina la bara bara..una hoji mzee kibaki kaifanyia nini Tanzanian ?wew umeifanyia nini...
  8. thepresidar

    Kama mpango ni kukuandaa kuwa rais, Dr. Salim kubali kwanza mambo haya ili tukuelewe

    Jamani hii mada meelewaje wenzangu ,Tusiwe na jazba na ubaguzi...Hebu tujiangalie sote wewe mtanzania unae lalama mno hivi nchi yako wewe umeifanyia nini?Mageuzi yenye mantinki ni muhimu kwa mataifa haya yanayo endelea Tanzania inahitaji kiongozi imara na hatutachagua mtu kwa sababu ya dini au...
  9. thepresidar

    kutesa wastaafu na kujenga daraja kigamboni

    Bwana Fundi tumekupata...Unacho kilala mikia ni nini hasa?Kama ni swala la usumbufu wa mafao hilo lina mantiki ila swala la magorofa na daraja sijakuelewa.nadhan umesoma shule na neno investment unalielewa na malengo yake ,ni kupe kido Hayo ma gorofa yana nufaisha mchangiaji ki uchumi kwa...
  10. thepresidar

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Naomba ni wakumbushe kitu kidogo Moja ya vitu vilivochangia Genocide Rwanda Ni Vyombo vya habari Hususan Watangazaji wa Redio.Maana yake ni Kama Kuna Watangazaji Ambao hawajui kuchuja mambo na kusema yale tu ambayo wanapaswa kusema Utangazaji style hiyo ni hatari...Jamani Siolazima kila kitu...
  11. thepresidar

    Naomba kujua kuhusu mafao ya NSSF

    Jamani wana jf nimesoma maoni yenu yote kwa ujumla Nadhan tuna experience tofauti tofauti kwa wale mlojitoa NSSF na kudai haki zenu poleni kwa ma usumbufu..Ki msingi vijana wenzangu Najue wengi wetu hatuja elimishwa vya kutosha kuhusu Maana hasa ya Social Security..Lengo na madhumuni ni kwa...
  12. thepresidar

    JK: mauaji ya mchungaji Geita ni fedheha!

    Kama raisi anapaswa kuzungumzia swala lolote linalo gusa nchi,Jamani watanzania kujifanya mnaleta siasa na udini pasipo stahili kutagharimu kila mtu?uwe shekh ,padri,mumini au yeyote...Dini ya kislam kuchinja ni Ibada kwa msojua ikiwa kama sikuzote waislam wamechinja na sasa wa cristo mnataka...
  13. thepresidar

    INASIKITISHA: Mama Maria Nyerere anyimwa kitambulisho,Mama Karume apoozwa kuwa atapewa

    KI msingi ni kupata kitambulisho acheni ushabiki...Haki yake ni kupata kitambulisho sio kupata wa kwanza au wa mwisho...
  14. thepresidar

    Kikwete atampa ulaji gani Balozi Mwanaidi Maajar?

    Meen acha kua mkali u don't need to insult any one ppl hear a just expressing there views...n you don't need to bragg wht madam Dr deed wote tunaju na kumbuka yeye pia kafundishwa na watu wengine ambao wengi kawazidi ki heshima,uchumi na mengineyo ulo taja but so WHAT?tuna kina kama yeye chungu...
  15. thepresidar

    Rais Kikwete amtimua Mwenyekiti wa Bodi Bandari

    Mshazoa ule msemo kua kufukuzwa kazi serikalini ni vigumu mpaka vikao,sijui upewe onyo ,safari hii hakuna ,kama baba zenu au wajomba zenu wezi watatimuliwa tu tushachoka sisi..mnapelekwa shule marekani na kodi za wakulima,mnaendesha ma lexus na kodi zetu mtatutambua mwaka huu.Viva...
  16. thepresidar

    Nimesikitishwa na kufadhaishwa sana na msimao wa baadhi ya masheikh juu ya swala la gesi Mtwara

    Mimi binafsi nashangazwa sana na hawa baadhi ya waislam wenzangu inakuaje nyie bakwata mnapenda kutumiwa na serikali ?any way si shangai sana coz Bakwata na CCm ni ndugu wa baba tofauti..lakini ndigu zangu hili sio swala la Udini au Shekh kasema Au Askofu coz viongozi wenyewe wahusika walishatoa...
  17. thepresidar

    Watanzania kaeni chonjo,kesho tar 19.01.2013 kusini tunawadhalilisha tena mafisadi

    Jamani twendeni hivi hivi mpaka tuikombowe nchi hii tukitoka mtwara mapambano yanahamia kwa kila mwizi wa nchii ambae yupo serikalini kupambana nae tusije tukaishia njiani hawa jamaa wana supriz nyingine so the only way ya kuwamaliza ni kuwashambulia mpaka kieleweke
  18. thepresidar

    Wizi huu Bandarini sasa hatari

    Ndugu wa JF hivi ni kweli kabisa hizi rushwa za hapa bandarini nazo mpaka wahusika waletewe majina au tuelewe wasimamiaji wa hizi sehemu nyete nanyi wezi?haiwezekani mtu anakudai hongo bila hata woga,mpaka walinzi wa mlangoni gate no 2 hatari tupu,Tanzanian tunajitia aibu watu wanakuja kuchukua...
  19. thepresidar

    Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    Nini msimamo wake na chama juu ya Mungano wa Zanzibar na Tanganyika....
Back
Top Bottom