Ukienda kwenye sekta ya maakuli utasikia hapa kwetu watu wanasema
"Nitengenezee nyama roast."
Au
"Tuna wali roast"
Akileta inakuja imekaangwa!
Lakini "roast" maana yake nini?
Ni kuchoma kwenye makaa ya moto kama vile viazi au nyama
lakini sio kukaanga kwenye mafuta.
Kukaanga ni "frying" sio...
Hivi TANESCO wana tofauti gani na mamantilie anayeuza chakula na ana duka la mafusuria?
Ukienda kusema, “Nipe wali samaki,”
Anakwambia, “Nunua sufuria nikupikie”
Unanunua, anapika, anakutengea.
Kisha anasema, “Sahani shilingi 3000.”
Unakula na kulipa tena.
Ukimaliza kula unamwambia...
1. Mafunzo kazini – on job training
2. Mafunzo tarajali – pre-service training
3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training
4. Mhafidhina – conservative person
5. Kozi andalizi – induction course
6. Kozi ya msasa – refresher course
7. Kozi ya msingi –...

Najiuliza tu.
Mambo mengine huenda yanahitaji kufikiriwa kwa undani zaidi.
Kwa nini wazee wetu hawakumrithisha binti ardhi? Je, huo ni kweli unyanyasaji?
Mimi sina jibu lakini najiuliza tu.
Hebu fikiria – sio wewe – bali vizazi vitano hadi kumi baadaye.
Binti wa Mwanza ameolewa Morogoro...
Baadhi ya watu watamkoromea sana JPM lakini mambo haya yamepangwa toka mbali na yana makusudi fulani kabisa. Inawezekana wengi wanaompinga JPM hata hawajui kuwa wao wanatumika tu kama punda wanaobeba mizigo hata hawajui nini kimo ndani yake.
Wengi wetu tuko familiar na majina kama kama vile...
Kwa ujumla "namfagilia" Rais wangu Magufuli kwa hatua kibao anazochukua (of course hali ni ngumu, lakini naamini ni moja ya gharama za kulipa unapotaka kuvuka viwango.
Lakini bado Rais wangu ni mwanadamu. Kuna mambo anayosema unatamani ungekuwa na uwezo wa kumuuma sikio kabla hajatamka.
Akiwa...
Najua wajua ila nakukumbusha tu.
Ile kazi yako unayotaka kuifanyia Translation au Editing (Ufasiri au Uhariri),
usisite kuni-pm. Yaani ni faster, effective, correct and superb.
Je ni nini?
Ni kitabu?
Ni muswada?
Ni ripoti?
Ni filamu?
Au ni nini?
Ilmradi ni English <>Kiswahili, usiwe na...
Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu.
Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha A.
"Darubini" ni kifaa cha kuchunguzia anga. Tazama picha B.

Kwenye Kiswahili hakuna neno "kupelekea".
Hili ni moja ya maneno yaliyopata mashiko siku hizi
lakini ukweli ni kuwa hiyo ni "broken language".
Mfano:
1. Tatizo hili limepelekea kila mtu kujihoji.
2. Kuchekelewa kumepelekea tumkose.
3. Ajali imepelekea vifo vya watu wawili.
...

Katika mambo ya utawala na menejiment (administration and management), kuna istilahi mbalimbali zinazohusika ambazo huenda hazijajulikana kwa wengi. Kwa mfano:
1. Mrejewa – referee (unayemuweka kwenye barua yako ya maombi ya kazi). Pia anaitwa mdhamini.
2. Masurufu – imprest
3. Posho...

Mishipa yote ya damu kwenye mwili wa mwandamu kama ingepangwa katika mstari mmoja, inaweza kufukia urefu wa maili 60,000.
Hii ni sawa na kilometa takribani 96,000.
.............
ZABURI 139:14
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi...
Iwapo una kazi inayohitaji Translation au editing, karibu sana.
Inaweza kuwa ni:
- muswada for editing
- kitabu (for translation)
- ripoti for editing
- movie for subtitling
nk.
Mara nyingi mtaani utasikia watu wakisema, “Jamaa anapiga slang si mchezo.”
Wengi hudhani “slang” ni Kiingereza cha Kimarekani.
Lakini maana halisi ya “slang” ni lugha ya mtaani. Ni ile lugha ambayo utajisikia aibu kuitumia mbele ya watu unaowaheshimu. Na mara nyingi huwa ni maneno yanayokaa...

Sijui kama na wewe unapenda mashairi (poetry) kama mimi. Ngoja nikuwekee shairi moja la William Blake liitwalo A Poison Tree, yaani Mti wa Sumu. Nimejaribu pia kuweka tafsiri yake kwa Kiswahili.
Katika maisha tunaotesha miti ya sumu tukikusudia kuwaumiza wengine. Lakini badala yake, inatudhuru...
Sijui kama na wewe unapenda mashairi (poetry) kama mimi. Ngoja nikuwekee shairi moja la William Blake liitwalo A Poison Tree, yaani Mti wa Sumu. Nimejaribu pia kuweka tafsiri yake kwa Kiswahili.
Katika maisha tunaotesha miti ya sumu tukikusudia kuwaumiza wengine. Lakini badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.