Search results

  1. msakaa jr

    Taasisi ya Friends of Tulia inafanya shughuli za kichama au Kiserikali?

    TANGAZO MAALUM Nawapa pole kwa usumbufu wowote uliojitokeza na kusabanisha taharuki miongoni mwa marafiki wa Dr Tulia. Hivyo tunawambia kuwa baada ya kutafakari kitendo alichokifanya ndg Shaban Nyamhanga,uongozi wa Taifa unamuondoa katka nafas ya uewenyekiti wa mkoa wa Shinyanga kuanzia leo...
  2. msakaa jr

    Afrika na utumwa wa kifikra

    Nawasalimia ndugu zangu katika ukweli na ukuu wa mwafrika! Hivi kwanini mafukara na wasioelimika kwa kiasi kikubwa wanaonekana kuathiriwa na dini hizi za kigeni, Ukiristo na Uislam? Kuna tatizo gani katika makundi haya? Ni ajabu waafrika tumehadithiwa hadithi zisizo na uthibitisho si wa...
  3. msakaa jr

    Waasi wasiopungua 50 wauawa Kaskazini mwa Msumbiji

    Maafisa wa usalama nchini Msumbiji, wamewauwa waasi karibu 50 katika siku za hivi karibuni katika eneo la Cabo Delgado Kaskazini mwa nchi hiyo, eneo ambalo limeendelea kukumbwa na machafuko kwa miaka kadhaa sasa. Tangu mwaka 2017, makundi ya waasi yaliyojuihami kwa silaha, yamekuwa yakitekeleza...
  4. msakaa jr

    Bollen Ngetti: Wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na uoga wa kijinga...

    Na Bollen Ngetti HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani! Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika...
  5. msakaa jr

    Kama ukiokota mtoto fanya hivi

    Habari wakuu, Sasa hivi kumekuwa na idadi kubwa ya matukio ya watoto wenye umri wa miaka 2-4 kupotea. Mara nyingi wazazi au walezi ndio hubebeshwa mzigo huu wa lawama kwa kutokua makini na waangalifu kwa watoto wao. Baadhi ya watoto hupatikana wakiwa hai na salama huku wengine hupatikana...
  6. msakaa jr

    Mtazamo kuhusu maana ya pete iwapo kidoleni

    Habari za wakati wakuu. Ngoja twende moja kwa moja kwenye mada yetu. Imekua ni utaratibu wa kawaida kwa wanandoa kuvishana Pete kidoleni wakati wa kufunga ndoa kanisani.Ikimaanisha kula yamini yakutoachana mpaka hapo kifo kitakapo watenganisha. Kuna baadhi ya watu hudaikwamba "mapenzi hayapo...
  7. msakaa jr

    Ipi ni mbinu nzuri ya utatuzi wa mgogoro wa Burundi?

    Leo nimefikiria sana kuhusu hali ya kisiasa nchini Burundi ambapo mgogoro umeendelea kudumu bila kupatiwa utatuzi wowote, ijapokuwa Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa anajitahidi kupatanisha pande zinazo pingana (chama tawala na wapinzani).Licha ya jitihada zinazofanywa na...
Back
Top Bottom