Search results

  1. std7

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Inaweza kuwa sio kweli maana wakaazi wengi wa Arusha customer care ni kama wanaozaliwa nayo tofauti na hao wala urojo.
  2. std7

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Hizo pesa zote za kufanya hayo katoa wapi?.
  3. std7

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Safi sana meneja kataa watalii wote kutoka Israel pokea watalii kutoka palestina tu.
  4. std7

    Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Bila kuwafinya hawa wanyasa wataendelea kuleta mazoea
  5. std7

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Nawapongeza sana uvccm kwa kusema wazi wazi kwamba watawapoteza wote wanakosoa viongozi wa CCM na wala jeshi la polisi lisiangaike kuwatafuta Nikisema CCM ni gang kama ile gfamily 9 ya Haiti au kama ile Pablo Escobar ilijaa watekaji, vibaya, wala rushwa, mafisadi, wahujumu uchumi wala usishangae.
  6. std7

    Dtk. Biteko: Tumetekeleza agizo la Rais. Mgao wa Umeme imemalizika rasmi

    Ni ngumu sana kutenganisha bwawa la Nyerere na Magu Kama ilivyo ngumu kutenganisha rushwa ufisadi na ccm Huu umeme tulionao ni kwasababu ya maamuzi magumu aliyo yachukua mwenda zake.
  7. std7

    Mkosoaji wa Serikali ‘aliyetekwa’ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Hauwezi mkosoa Pablo Escobar na kundi lake ukabaki salama.
  8. std7

    Ushauri: Nataka kuanza kuwa chawa ,uchawa unalipa

    Mkuu uchawa ni hatari unaweza shikwa kalio.
  9. std7

    USHAURI kwa Makonda na kampuni za utalii namna ya kukuza utalii jijini Arusha

    Dini ni shambulio la akili na ulokole ni kama tatizo la akili Mada ni Makonda na Arusha siyo simu na maombi wewe mwabudu sanamu.
  10. std7

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Kwa hapa Tanzania kwa sasa tuna pikipiki za kuchaji Lakini kwa upande wa magari ya umeme kwa Tanzania bado sana japo tunatarajia maana mabadiliko ya kiteknolojia uwa yanatusomba tu kama mafuriko Kwa sasa tuendelee kununua hizi hybrid generation za karibuni angalau tufurahie ulaji mdogo wa mafuta.
  11. std7

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Kweli kabisa hakuna chawa, walamba asali (vyama upinzani) wala walambisha asali (ccm)
  12. std7

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ule muda wa maji na mafuta kujitenga umefika Maono ya mwanandoa yeyote ni kuhakikisha ndoa inadumu
  13. std7

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Beatrice Muhone kafanyaje?
  14. std7

    Picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail Haniyeh Waliouawa

    Wale watanzania wawili wanafunzi waliouwawa sio ndugu zetu.
  15. std7

    Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Uchawa unaweza kuwa ni matatizo ya akili Nikupe tu taarifa mleta uzi kisongo ni nje ya mji na mafuriko kisongo ni kawaida uliza wenyeji wa Arusha we chawa wa ufipa.
  16. std7

    Picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail Haniyeh Waliouawa

    IDF ukiinama nchale, ukiinuka nchale, Poleni sana familia ya Joshua Walio wauwa ndugu zetu wanaendelea kupukutika.
Back
Top Bottom