Search results

  1. ndugaseli

    Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

    Huyo dada mchochezi tu kaongea kwa hisia na ameshindwa kutaja ni mradi gan ameacha hayati J.P.M umesimama ? Lakin pia suala la wanawake kuchoka na kubeba watoto wawili uku wanauza tissue si suala la Raisi kwan hata huko Marekani kuna watu wanalala nje kwa ugumu wa maisha so we dada tuliza...
  2. ndugaseli

    Tusali sana hali inazidi kuwa mbaya

    Na siki hizi wamekua wengi sana na mitandao ya kijamiii inazid kufanya promotion za machoko kwahyo baba piga ibada mno Dunia imekwisha .
  3. ndugaseli

    Mfahamu RTO anayehujumu Mapato ya Serikali jijini Dodoma

    Bandiko zuri lakin najua watakuja wenzetu WATZ kusema kua wao wakale wapi ' Na bandikk kama hili huwezi kupata wachangiaji wengi badala yake wewe ndo utaonekana mbaya kwahyo Mkuuu ni kitulia na kuacha mambo yaende kama watu wanavyo taka
  4. ndugaseli

    Hii kiitifaki imekaaje?

    Uko vizuri sana Afisa Itifaki
  5. ndugaseli

    Msiilinganishe Zanzibar na Tanganyika - Wazenji wapo mbali sana na sasa

    We shoga ndo umeandika nini sasa ?
  6. ndugaseli

    Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

    Sawa Kunambi utapata uteuzi naona umejipgia chapuo mwenyewe .
  7. ndugaseli

    Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Da! aisee huyo afisa ni mshamba sana kwanza hana maadili ya kaz nashauri afukuzwe kazi mara moja kwa kuingilia majukumu ya polisi na kutishia maisha ya dereva ova.
  8. ndugaseli

    Historia hii itatubadilikia mbeleni kama tutaacha Tundu Lissu ashauriwe na mabeberu

    Hahahhaha Tundu lissu kachomoa battery
  9. ndugaseli

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni fiksi hatari
  10. ndugaseli

    Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. ndugaseli

    Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    Chama cha baba yangu na mama yangu i love u ccm Mwaaa !!! hiii ni ya kwetu wenyewe tumeipenda wenyew wacha ituue potelea pwetee
  12. ndugaseli

    Uchaguzi 2020 Ndugu zangu wanaCCM kweli tulikosea, tuchutame

    Wewe ni mwana Lumumba mwenzangu kweli ? Mbona unaongea vitu vya uchochezi .
  13. ndugaseli

    Bunge limeingia kwenye mtego mkali, Rais kasema tuchape kazi na wao wanashindwa kuahirisha Bunge

    ccm ni chama chetu ,2mekipenda wenyewe ,wacha kituue potelea pwete Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ndugaseli

    Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

    Nipo Chato, hata huku limepita Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom