Search results

  1. aikaruwa1983

    Kichwa kutoa mfereji kwa mtoto

    amini.....ila hawa watoto wanakuwa na akili sana baadae....
  2. aikaruwa1983

    Kichwa kutoa mfereji kwa mtoto

    kisayansi sijui ila uswazi wanasema tiba ni baada ya show unamchora msalaba dogo kwenye kichwa ukitumia dudu bila kulifuta
  3. aikaruwa1983

    TANZIA Bilionea Tanil Somaiya wa Shivacom afariki dunia

    na hilo shati pembeni kama la ndugu "amirika spiriti"
  4. aikaruwa1983

    Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

    nakupata wapi dr....mimi niko dar huna ofisi dar unipe ramani nije
  5. aikaruwa1983

    Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

    dr mzee wangu 75yrs kapata stroke ila imegusa ubongo tu kulingana na kipimo cha MRI... ni mwaka 4 sasa amechanganyikiwa na wasiwasi wa kutosha....tunampa dawa za bp. vp kwako itapatikana dawa...
  6. aikaruwa1983

    Natafuta kazi ya udereva wa bodaboda

    muhimu leseni yako iwe na A, A1
  7. aikaruwa1983

    Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    Non- franco luambo
  8. aikaruwa1983

    Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    nathalie- jullio iglesias thank you - dido indege- inafrica band long long journey -- enya
  9. aikaruwa1983

    Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Huna haja ya kutukana mkuu..... nikwambie tu kwa uwezo wa Jeshi letu kama Mbowe kajiumiza mwenyewe dakika sifuri wangekuwa washamkamata (nisichowapendea polisi wetu huwa hawana siri).....AMINI.......
  10. aikaruwa1983

    Nini lengo la VTS na kwanini isiwe speed governor?

    anabisha tu kipannde cha ubena mpaka mikese speed 100 kidogo tena chuma haitembei kivile zaidi ya ving"ora tu......
  11. aikaruwa1983

    Tembelea hifadhi ya Mikumi kwa gharama nafuu

    kamanda unaweza ukawa na taarifa za gharama kutoka arusha kwenda ngorongoro kukaa siiku mbili kama ulivyodadavua kwa mbuga ya mikumi.....
  12. aikaruwa1983

    Kiburudisho baada ya wiki ya matukio ya ajabu

    donna summer-- she works hard for the money
  13. aikaruwa1983

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    R.I.P BOSS RUGE Lament for thorin mp3 - Eurielle
  14. aikaruwa1983

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Realtime GPS GPRS GSM Tracker For Car/Vehicle/Motorcycle Spy Tracking Device CHW | eBay ticha haka ka gps mpaka mkononi ni tshs ngapi.....if kuna kodi kwa uzoefu wako serikali watachukua tshs ngapi
Back
Top Bottom