Search results

  1. Perfectz

    Kwa wale wasiyofahamu, Jay Melody na Z Anto ni ndugu wa damu kabisa

    KWA WALE WASIOFAHAMU HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA. JAY MELODY VS Z ANTO
  2. Perfectz

    Natoa huduma ya Games PS4, PS3, PS2, PC na Xbox Games

    KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES,KARIBU SANA SKYGAMES 0710701361 TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC NA XBOX GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA. FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC NA PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA, 4GB RAM, 2GHZ PROCESSOR🔥🔥🔥 PIA PES 24 YA PS4 ZA...
  3. Perfectz

    Kwa wale wenye komputa za kawaida, pata games kali za mpira na nyingine nyingi

    TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC XBOX GAMES 0710701361 FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC INAPATIKANA🔥🔥🔥 INAHITAJI RAM 4GB NA PROCESSOR KUANZIA 2...GHZ PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA 🔥🔥🔥 PC INATAKIWA KUWA NA 4GB RAM PROCESSOR ANGALAU YA 2...GHZ ,60GB STORAGE. PIA PES 24 YA PS4 ZA...
  4. Perfectz

    Nazitafuta hizi album za kwanza kwanza za wasanii hawa

    Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi. Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa 1.RAY C 2.Q-CHIEF 3.BANANA ZORRO 4.LADY JAYDEE 5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI KITU GANI NZIMA 6.MR NICE ZOTE HATA KAMA UNAZO ZINGINE ZA ZAMANI SIO MBAYA UKA SHARE PIA.
  5. Perfectz

    PES 17 PATCH 24 FOR PC AVAILABLE🔥🔥🔥

    EFOOTBALL/PES24 YA PC INAPATIKANA SASA.NI PATCH COMPLETE NA USAJILI KAMILI KABISA🔥🔥🔥 PIA PES 24 YA PS3 IPO USAJILI KAMILI KABISA🔥🔥🔥 BILA KUSAHAU PES 24 YA PS4 KWA MASHINE ZA KUCHIP V9.00 YENYE SIMBA NA YANGA NDANI,NI YA MOTO🔥🔥🔥 PIA TUNAWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥...
  6. Perfectz

    Wanafunzi wanateseka sana kuhusu usafiri wa daladala

    Ni majira ya asubuh niko kituoni nasubiri daladala(mwana JF pekee nisie na gari) nielekee kwenye mizunguko yangu ya kutafuta riziki. Mara likafika daladala la kuelekea makumbusho, konda kasema sipakii baada ya kuona wanafunzi wengi pale kituoni. Kaenda mbele kapakia watu wazima kasepa. Hali ni...
  7. Perfectz

    INAUZWA PC games fifa 14 na pes 17 patche to 23

    PATA FIFA 14 PATCH 23 🔥 🔥 🔥 PES 17 PATCH 23🔥🔥🔥 KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5. Pia TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥 TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361📞🔥🔥🔥 KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA...
  8. Perfectz

    Hiki kipindi cha wasafi cha Gospel ni balaa. Ni zaidi ya Ibada

    Leo ni mara ya nne nakisiliza kipindi hiki kinachoongozwa na Liliana Mwasha na Masanja Mkandamizaji. Nimeikubali sana Chemistry yao na namna wanavyoendesha kipindi chao.Hakika ni mapinduzi makubwa mno, abarikiwe sana alieifikiria Chemistry ya hawa host. Leo walikuwa na wageni waalikwa Christina...
  9. Perfectz

    Tukutane hapa tunaopenda bidhaa halisi yaani original na kwa bei rahisi

    Kutokana na mabadiriko ya sayansi na teknolojia kumekuwa na muingiliano mkubwa wa bidhaa mbali mbali. Zipo bidhaa ambazo ni bora na ni original lakini pia zipo ambazo ni feki na bado unaweza kuuziwa kwa bei ile ile ya original. Pia kuna bidhaa ambazo ni brand maarufu duniani lakini kuna feki...
  10. Perfectz

    Review: In the tall grass movie

    Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kuna muvi nimeiona inaitwa IN THE TALL GRASSES ila imenichanganya sana tena sana. Haya ni baadhi ya mambo yaliyonichanganya i)Je, yule mdada mwenye mimba aliekuwa kwenye gari na kakake wakienda kwa mchumba wa yule dada, je waliingia mle kwenye yale majani...
  11. Perfectz

    Wadau kwa anaejua hizi SARAFU

    Husika na kichwa cha Habari hapo juu,naombeni kujuzwa kuhusu hizi sarafu je zina thamani gani, ni za wapi na nitazitumia wapi. Kwa atakaesaidia tutagawana pasu kwa pasu ninazo kama 30 hivi
  12. Perfectz

    Je hii ingetokea kwetu angepona mtu kweli??

    Ndege ya abiria imeanguka baharini baada ya kukosa barabara ya ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chuuk International huko Micronesiam kulingana na maafisa wa uwanja huo wa ndege. Ndege hiyo kutoka kampuni ya ndege ya Air Niugini kutoka taifa la Papua New Guinea ilionekana ndani ya...
  13. Perfectz

    Rockstar4000 nyuma ya pazia

    Kupitia chanzo cha habari makini kabisa(Watu wa karibu) inasemekana timu hiyo ya rockstar hali sio shwari kabisa.Kuna mvurugano mkubwa mno tangu kipindi kile Baraka anatoka. Inasemekana hivi sasa wasanii wengi wameona kuna ubabaishaji mkubwa na kuisusa lebo hii.Chanzo kikubwa kuna msanii mmoja...
  14. Perfectz

    Kioo cha MACBOOK PRO RETINA inchi 13

    Habari zenu ndugu mko poa?Naomba kuulizia kama kuna mtu anaweza nisaidia wapi nitapata kioo cha macbook pro retina inchi 13??? Naomba msaada tafadhari kwa hili
  15. Perfectz

    Hakika tunaelekea kuuzika muziki wetu sisi wenyewe

    Chuki,wivu na kutokubali kushindwa kunaelekea kuliangamiza taifa hili kimuziki.Sasa kazi mbovu kabisa zinapewa promo kiasi cha kuharibu jina na muziki wa Tanzania. Hivi sasa tumefikia hatua ya kuendekeza ushindani usiokuwa na tija katika muziki wetu wa Tanzania.Wenzetu wanafanya ushindani wa...
  16. Perfectz

    Tanzania kwanza!!!!

    Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Perfectz

    My work...

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom