Search results

  1. Africa's Dream

    Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    mkuu ni utata coz server zao zishafikia limit, labda baadae baadae
  2. Africa's Dream

    Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    hatimaye HESLB waachia results za loan kwenye web yao, pande zangu mtandao unakaba kinazi, but najua soon ntafanikisha. all the best kwa wenye bahati zao na waliolala na bundi kazi ni kwao
  3. Africa's Dream

    Puuuuush......puuuuushhhhh .........ahaa ahaa aaaa mmh kazi ipo

    vijana wanafanya kazi bure may be wanatafuta njaa
  4. Africa's Dream

    msaada wa web za kudownload novel za James Hadley Chase"

    kwa yeyote anayejua web ambayo naweza kudownload novel za huyu jamaa, naomba anisaidie coz nimesoma novel zake kadhaa na nimevutiwa sana na uandishi wake. nice time guys:flypig:
  5. Africa's Dream

    MiSeMo yEtU jIjIni MbEyA..! OnGeZa yA mKoAnI kWaKo bASi.

    We jamaa ni noma coz umenikumbusha mbali sana. tuongeze na hii kibunguja,gozo(halizeti),ngoko(mkokoteni/kwama),mpafu(mlafi). kama ujaishi mbeya lazima upotezwe...
  6. Africa's Dream

    Jakaya Kikwete na Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari kwa siku tano

    huyu presda ni tatizo coz hata matatizo ya wananchi wake hayajui. kazi kutia misele ka mal***.
  7. Africa's Dream

    Uchaguzi wa Igunga haukuwa huru na wa haki! - Freeman Mbowe

    Na ndo maana kilio cha katiba mpya ndo msiba wa wenye uelewa. Huoni hiyo katiba bibi ilivyokaa kimaajabu. Kwa hiyo hata tume ikichakachua hakuna wakukosoa wala kuuliza, Nini sasa hiki si bora kuishi kwa kufuata mila na desturi kuliko hiyo katiba ya KIVAKU.
  8. Africa's Dream

    KAWAMBWA, JuKUMU LA KUWASOMESHA WATOTO NI La WazaZi na sio Serikali.

    Dah! Umasikini wa mawazo ni ugonjwa usiopona, huko tunakoelekea watu watapigika kiasi kwamba hata elimu ya awali itabidi waombe mikopo. Me naamini kizazi cha jana na cha leo kama vingepata elimu bora basi hicho kizazi cha kesho ingekuwa ni bata tu coz wazazi wangekuwa wanajiweza but kwa mtindo...
  9. Africa's Dream

    Shemeji wa kike wa baba yangu mdogo ananihitaji kimapenzi nimkubalie

    Huu utata sasa unataka kwenda sawa na faza mdogo. But sio issue, the pursuit of happines ndo kila ki2, kaa vp cheki moyo unakwambia nini thn follow it.
  10. Africa's Dream

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    This is really bad fellas, the world is said to be unfair but the degree of unfairness has crossed the borders in Tz. There's a great need for appliacation of people's power to overthrow this satanic government. Let's join our hands and say no to oppression and exploitation, by adopting...
  11. Africa's Dream

    Kibaha Secondary kiboko wagomea mock exams

    Big up kibaha boyz! Hii inadhihirisha kwamba nyinyi ni vipaji na mnajitambua
Back
Top Bottom