Search results

  1. TASLIMU

    JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    KWAHIYO unapambana na TWAWEZA au unataka maoni,mbona ishu zingine umeziacha,utafiti wa TWAWEZA haikua URAIS pekee,au hoja ya ccm kuwa inapendwa sana imekubali,ila urais ndo utaki,je UKAWA je
  2. TASLIMU

    Nini unaogopa sana katika Maisha????

    Ugonjwa,ugopa sana mimi,sababu weka mimi ndan bana,sipend hii
  3. TASLIMU

    Msikilize Lusinde akiuza sera za CHAMA CHA MAPINDUZI

    Mmmmmmm!!!huyu Lusinde ndo ameng'oa MARECHELA,
  4. TASLIMU

    Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

    Aje aone,
  5. TASLIMU

    Narudisha kikombe

    Safi mlevi,mpe na kisaani
  6. TASLIMU

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Makamanda leten mambo yanayoendelea hapo NMC
  7. TASLIMU

    Wapi aliko FRANCIC KIWANGA???

    Ok uzi unaweza fungwa
  8. TASLIMU

    Wapi aliko FRANCIC KIWANGA???

    Nafafanua my take yangu(nilikua na maana ya kuwa)nijuzwe jamaa sasa hivi yuko,lengo kuzuia wale watu wa utani.ndo mana nikarejea ktk katiba!! ASANTE SANA kwa kunipa majibu mazuri,na ufafanuzi,allah akujalie
  9. TASLIMU

    Wapi aliko FRANCIC KIWANGA???

    Wanajamvi naomba kujuzwa aliko Francicy Kiwanga(kijana)mkurugenz wa tume ya haki za binamu,naona siku hizi kuna yule mama Helen kijo Bisimba,au ndo ameshukua nafasi yakijana yule My take! infomation z power au lejea katika katiba ya Tz ibara ya 18 kifungu kidogo.......ulazima wa kupata taarifa
  10. TASLIMU

    Dr Slaa kutana na Vijana kila mwisho wa mwenzi(2012/15 sept)

    Umeeleweka jembe,nazan huu ni mkakati mzuri kama CDM itafanya hivo,ila kama watapuuzia hiyo juu yao....Dr pitapita hapa uyaone mawazo ya wadau
  11. TASLIMU

    Dunia yako....Chaguo lako...

    Chagua kuwa mbali na SISIEM
  12. TASLIMU

    CCK ije na jipya katika siasa za Tanzania

    Nasubiri hiko chama,nigombee urais2020
  13. TASLIMU

    Social network ya kwanza wewe kuingia ni ipi??

    Duu 1.darhotware-2007 2.facebook-2008 3.jamiiforums-ilijua naipitapita toka 2007,nikajiunga2011 4.twitta
  14. TASLIMU

    Sitta: Siogopi kushtakiwa kwa kumtetea Mwakyembe

    Napata hasira sana.huyu Manumba baada ya kupeleka mafisad mahakamani,ambao wanaleta umaskin,anajitumumua kwa mambo madogo,haya akikutwa na atia,inapunguzaje umaskin shame of them
  15. TASLIMU

    Ujenzi wa Gas-Pipeline kutoka Mtwara-Dar unaanza kuingia nyongo..

    Nimesema nafuatilia,Sio Kusubili au ujanielewa bro,,,,punguza mumkali!!!!!!!!!!!!!!!,tutaifanya kusini yetu kama Honkong,sasa hivi vijana wengi tumefuta ujinga,
  16. TASLIMU

    Ujinga wa MWANADAMU duniani

    Mwanadamu kiumbe cha ajabu yeye anatumia akili yake kutengeneza SILAA ZA MOTO(bunduki,risasi,mabomu nk) Hizi zote zinatumika KUANGAMIZA WANAADAMU!! Alafu binadamu anadai amestaarabika,tunashangaza,sijasikia kiongozi wowote wa kidunia akitaka tuondoe silaa dunian,tune na dunia hisiyo na silaa...
  17. TASLIMU

    Vichekesho kumi za leo teh teh teh!!!

    Umeipamba siku yangu leo
  18. TASLIMU

    Misamiati maarufu vyuo vikuu

    Koz work(makalio)
Back
Top Bottom