Search results

  1. Amiliki

    Kippi Warioba jiheshimu

    Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa? Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu? Na nyie...
  2. Amiliki

    CCM yaamua kupora ushindi liwalo na liwe

    Wanabodi, Kuna ndugu yangu amenipigia simu eti anadai huko Ifakara, Tume imewataka wapigakura kutotiki against jina la mgombea bali wanatakiwa kila mpigakura aandike jina sahihi la mgombea wa chama chake, na watakaoshindwa kuandika, wasimamizi wa uchaguzi wamepewa maagizo ya nini cha kufanya...
  3. Amiliki

    Line ya M-Pesa na Tigopesa kwa bei ya maelewano

    Nina line ya Mpesa na Tigopesa. Nipo Dar, kwa aliye interested ani-PM. Bei nzuri. Asante
  4. Amiliki

    Polisi Rukwa kuandamana unyanyasaji wa watoto na ubakaji!

    Ndugu Wanajamvi, Ule msemo maarufu wa Wanaijeria "WONDERS SHALL NEVER END" ndio unaoonekana kujidhihirisha hapa katika Halmashauri ya mji wa Sumbawanga, mkoani Rukwa. Nipo hapa mtaa maarufu kama DOUBLE ROAD! gari ya matangazo ya Polisi inapita ndani yake akiwamo polisi wa kike na kipaza sauti...
  5. Amiliki

    CCM waangukia "Tumbo Mombasa" Chuo cha Ustawi wa Jamii Dares salaam

    Ni katika Uchaguzi wa Rais wa Chuo uliofanyika jana, ambapo pamoja na kutumia pesa nyingi na watoto wa "Mahasimu wawili", Sitta na Lowasa kuwa mstari wa mbele kuokoa jahazi lakini bado mgombea wao ndugu Nyakia(ambaye aliweka wazi itikadi yake ya CCM) ameambulia kubwagwa vibaya na kijana wa...
  6. Amiliki

    Yanayoendelea kutokea: Wenye busara wameisaliti nchi

    Wazee waliokuwa wanahesabika kama wazee wenye hekima ndani ya Chama cha Mapinduzi wamekitelekeza chama na kukiacha mikononi mwa watu wa hovyo hovyo, hali inayopelekea chama kuendeshwa kihuni. Enzi za akina Mzee Malecela, Salim A. Salim, Butiku, Kingunge Mwiru na wengineo wakiwa na sauti ndani ya...
  7. Amiliki

    Kama si chimbua chimbua ya Chadema tungekuja kupata aibu ya kihistoria!

    Ndugu Wanajamvi, Najua kuna watu wengi wanalichukulia suala la CUF na Uliberari kirahisi rahisi. Hili suala ni rahisi kwa sasa kwasababu halijaleta madhara bado. Je umeshawahi kujiuliza kwamba imetokea siku Nchi ikapata Rais toka kwenye Chama chenye Mrengo wa Kiliberari ambao unaheshimu ndoa...
  8. Amiliki

    Swali la Kimajungu: Kwanini Mhuhujumu Uchumi Idd Simba yuko nje?

    Ndugu wanabodi, Kwa uelewa wangu, sheria ya Uhujumu Uchumi nchini inamnyima dhamana mtu "yeyote" aliyeshitakiwa mahakamani kwa kosa hilo. Lakini jambo la ajabu nilaloendelea kulishuhudia ni kwamba hata baada ya mashtaka ya akina Idd Simba kurekebishwa na kuangukia kwenye makosa ya Uhujumu...
  9. Amiliki

    Uhalisia wa Mrahaba wa 3% kweye mikataba ya Madini

    Ndugu zangu wanabodi, Huwa natatizika sana pale ninaposikia kuhusu serikali kuingia mikataba ya madini na makampuni ya nje kwa kukubali ilipwe mrahaba wa 3%! Kiasi cha mgao ambacho kwa macho mtu wa aina yangu tusioelewa nakiona ni kidogo mno! Naamini, pamoja na mapungufu mengi ya Watendaji wa...
  10. Amiliki

    Kutokutekezwa kwa Silaha zinazokamatwa toka kwa Majambazi: Je ni mpango mahususi?

    Kila wanapouawa na polisi watu tunaoambiwa kuwa ni Mjambazi, kuna silaha ambazo polisi huzionyesha sambamba na maelezo ya tukio. Cha ajabu, silaha hizo nyingi zinaonekana kufanana sana kati ya za tukio moja na jingine. Je huu hauwezi kuwa ni mchezo wa polisi wa kuwabambikiza hawa marehemu silaha...
  11. Amiliki

    Familia ya Pombe Magufuli yatinga kwa TB Joshua

    Baada ya Lowasa, jana kwenye live service ya Alhamisi mtoto wa kiume wa Waziri wa Ujenzi akiwa na mama yake na dokta wake ambao walimpeleka kijana huyo aliyekuwa anatumia mashine maalum ya kusaidia kupumua. Katika kuelezea tatizo la mtoto dokta alielezea kwa kutumia kiingereza fasaha lakini...
  12. Amiliki

    Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

    Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani huku Kimara yakifanya biashara ya Maji? Tulizoea kuyaona magari mengi sana ya kuuza maji ambapo leo ni...
  13. Amiliki

    Reginald Mengi: Mangula, wala Rushwa wanajulikana unasubiri nini?

    Hii nimeikuta kwenye tweet ya Dr. Mengi leo; @regmengi: "Rushwa imekithiri, maadili yameporomoka"Mangula. Lakini mh. wahusika wanajulikana. Tatizo ni nani amfunge paka kengele ? MY TAKE: Imeandikwa, Nikiwazuia hawa kuimba, basi mawe na miti vitainuka na kuanza kuimba. CCM mjifunze kitu sasa.
  14. Amiliki

    Ajabu la nane la dunia lazima litatokea Tanzania!

    Kweli nchi hii vituko havitakaa viishe! Mkuu wa Polisi wa Arusha amekiri wazi kwamba gari lililokamatwa na Mirungi ni gari ambalo lipo chini ya Uangalizi wa Mahakama kama Kidhibiti cha kesi inayoendelea mahakamani ya kukamatwa hapo awali likiwa limebeba Mirungi. Kama hiyo haitoshi akadai kwamba...
  15. Amiliki

    2013: Polisi waanza na utani wa kuudhi

    Kamanda Polisi Temeke ataka wauza madawa ya kulevya wafichuliwe.. Source: Nipashe. Huu ni Utani mwingine kwani Polisi wanawajua hawa wauza madawa karibu wote, lakini wanapatwa na kigugumizi kuwakamata kwa kuwa kuna Vigogo nyuma ya biashara hiyo na sehemu nyingine polisi wanauhakika wa...
  16. Amiliki

    Funga mwaka 2012: Nape amwita Jeetu Patel "Baba"

    Kweli Waliosema Njaa Mwanaharamu, hawakukosea. Si huyu huyu Nape aliyejigeuza vuvuzela na kupita kila kona na kuwatuhumu wale wote waliohusika na wizi wa EPA na kuwaita Majina! Si huyu huyu Nape aliyetaka Mafisadi wote waondoke ndani ya CCM na kuwaita ni Magamba na wanakichafua Chama! Si huyu...
  17. Amiliki

    Rushwa anayoiona Sumaye: Takukuru mpo wapi?

    Nimemsikiliza kwa makini Mh. Waziri Mkuu Mstaafu kwa heshima (si kwa kashfa ya kutuibia wananchi), Mh. Fredrick Sumaye akieleza kwamba rushwa ndani ya chaguzi za CCM si tatizo jipya ispokuwa la sasa limekuwa la aina yake kidogo kwani ni rushwa ya "Kimtandao" ambapo mtu anaweza akawa sehemu...
  18. Amiliki

    Jina: "jeshi la polisi" si sahihi.

    Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo kila kitu kinachukuliwa na kupelekwa kisiasa kama tu kitakuwa kinawanufaisha Watawala. Tanzania ni nchi pekee ambapo Polisi nao eti wanaitwa "JESHI" na hiyo ndiyo inayopelekea na wao kujiona kwamba ni Jeshi na kupelekea hata Kuua wakijihisi kwamba wako...
  19. Amiliki

    Mabalozi wa CCM na Vitambulisho vya Uraia: Hii imekaaje?

    Wakati najaza fomu ya kuniwezesha kuja kupata Kitambulisho cha Uraia, niliona Watu wawili wakija pale bila ya kuwa na Viambatanisho vilivyoorodheshwa kwenye fomu, lakini wakiwa na barua za Mabalozi wao wa Nyumba kumikumi ambao ni waajiriwa wa CCM (Na si kutoka kwa Watendaji wa kata ambao...
  20. Amiliki

    Spika aondolewa ulinzi

    Sijajua mpaka sasa tafsiri yake ni nini, lakini lililotokea ni kwamba wale askari wa FFU waliokuwa wanailinda nyumba ya Mh. Spika wetu kipenzi wamepewa amri ya kuondoka na kuacha lindo hilo la nyumba binafsi ya Mh. Spika. Kwa barua waliyosomewa Askari hao ni kwamba kwa sasa Mh. Spika inabidi...
Back
Top Bottom