Search results

  1. Tamati

    Huyu msanii anaitwa nani?

    Anaitwa nani
  2. Tamati

    Hii pressure ya wanawake wakifikisha 26 na kuendelea imekuwa tatizo sana, wanabaki kuchukua maamuzi magumu

    Nilikuwa nasikia jua likianza kuchowea kwa hawa wenzetu wanapatwa na kiwewe nilifikiri ni utani, ila kwa sasa nimethibitisha ni kweli. Nina ushahidi wa wanawake 3 ambao nafahamiana nao wenye 26+. Wawili kati yao wamefikia kuchukua uamuzi mgumu wa kutafuta familia(kuzaa bila ndoa almaarufu nje...
  3. Tamati

    Kumbe haka ka kipengele cha 'Disability' sio ishu ingawa wapo waliopata

    Imefika muda sasa nitinge ofisini zenu Tamisemi au Utumishi ili niwaeleze ukubwa wa Disability niliyo nayo maana kwenye mfumo hamjaitambua na kwenye CV pia hamjaitambua, kwenye utangulizi wa CV nimeelezea hali ya Disability yangu ila hamjaiona. Niliwahi kuambiwa sekta moja binafsi kuwa siwezi...
  4. Tamati

    Bado naendelea kutafuta kibarua, nisaidieni ndugu zangu wana JamiiForums

    Hali bado tete siku hadi siku huku janga la Corona likiendelea kumea kila kukicha. Hatma ya kupata riziki ya halali na ya kueleweka angalau mlo mmoja kwa siku bado giza nene. Kupata kibarua cha halali imekuwa changamoto sana kwa upande wangu. Najitajidi kuzunguka kila siku na kuomba kwa watu...
  5. Tamati

    Wezi mlaaniwe sana, mumenichimbia jalalani mno, ipo siku nitatiwa mbaroni kutokana na haya madeni

    Mwaka ulianza vibaya kwa upande wangu baada ya hawa watafutaji ( Wezi ni watu wabaya sana, wameniibia masufuria yangu yote kwenye kamgahawa, nimerudishwa jalalani ) kunirudisha jalalani. Kila kukicha ni afadhali ya jana yake, giza tororo linazidi kutanda mbele yangu pasipo na dalili za mwanga...
  6. Tamati

    App gani nzuri ya kuweka na kutoa sticker kwenye picha, screenshot

    Salamu wapendwa wana JF na wadau wa jukwaa hili. Rejea kichwa cha uzi, ni application gani nzuri ya Android ninayoweza kuitumia kuweka na kutoa sticker kwenye picha, screenshot yenye maandishi bila kuathiri maandishi yaliyokuwa yamefunikwa. Yeyote anayejua hiyo application naomba anitajie jina...
  7. Tamati

    Hivi ndivyo nitakavyokuwa nabet, nahakikisha napata faida kila siku, nidhamu muhimu, tamaa inaua

    Habari ya Mwaka Mpya wa JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, baada ya wezi kuniibia vitendea kazi vyangu mnamo usiku wa 26/12/2019 kwenye mgahawa nilikuwa nimeuanzisha, kuanzia hiyo siku hadi leo bado sijaweza kurejea tena kwenye shughuli hiyo baada ya kukosa mtaji wa kuinuka tena hadi sasa...
  8. Tamati

    Wezi ni watu wabaya sana, wameniibia masufuria yangu yote kwenye kamgahawa, nimerudishwa jalalani

    Nikiwa hata bado sijamaliza mwezi mmoja na hata bado sijaanza kuona faida ya haka kabiashara kangu cha mgahawa. Nimerudishwa jalalani kuibuka tena hadi nitumie nguvu za ziada. Wezi wamevamia kakibanda wamefyatua kufuli likafunguka na kuiba masufuria yangu yote, chupa ya chai na hotport vyenye...
  9. Tamati

    Nimeanzisha mgahawa, karibuni mpate huduma ya chakula chenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu

    Heshimu kwenye wana JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika kuhustle kwenye maisha nimeamua nianzishe biashara ya mgahawa ili niweze kukidhi mahitaji yangu ya kila siku. Mgahawa wangu upo mjini Morogoro eneo la Msamvu karibu na Stand ya bus pembeni mwa Jengo la ghorofa linalojengwa...
  10. Tamati

    Shemeji yangu tabia yako inanikera sana, nitakuchomolea betri kwa Bro, niache nijikongoje upo hatua mia mbele yangu

    Hizi ni salamu kwa watu wote wenye tabia hizi, reference ni shemeji yangu. Shemeji yangu tabia yako ya kunipiga vizinga vya mara kwa mara inanikera sana, inanirudisha nyuma. Wewe una ajira yako, mumeo ana ajira riziki kwenu sio shida, maisha yako/yenu sio shida. Tayari mshajenga na mumeo...
  11. Tamati

    Kama unampenda kwa dhati, kwa nini umtoze mahari kubwa

    Utasikia "nakupenda kwa dhati, bila wewe siwezi kuishi. Nitaishi na wewe popote pale, nakupenda sana kwa dhati" Ukimuuliza mahari unanitoza kiasi gani, anakutajia kiasi kikubwa hadi unaanza kujifikiria "ivi ni kweli ananipenda kwa dhati, au anaigiza tu..." Umempenda kwa dhati halafu umtoze...
  12. Tamati

    Kwanini mnashindwa kufanya siku za salama hadi mpate mimba zisizotarajiwa?

    Hivi huwa mnakwama wapi? Hivi nguvu ya Nyegezi ni kubwa kiasi hicho? Fuateni kalenda kuepuka mimba msizozitarajia Uzi tayari.
  13. Tamati

    Huyu Bamaid amenikata stimu, ana share sigara na wanywaji

    Juzi kati nikiwa naangalia mpira wa AFCON kwenye Pub iliyo karibu na makazi yangu hapa kupitia SuperSport baada ya Azam Tv kukinukisha kufuatia msiba wa wafanyakazi. Kwenye hii Pub kuna Bamaid ambaye nimetokea kumuelewa na nilianza kupanga mashambulizi juu yake ya kumtafuna. Kuhusu unywaji...
  14. Tamati

    Sitasahau siku nilipomnunua malaya halafu jogoo kagoma kuwika.

    Kidume nilijichanga nikasema ngoja nitafute mtu wa kucheza game naye ili nifurahie jasho langu.. Nikaamua kutafuta dadapoa, nikampata tukapanga kukutana sehemu fulani. Nikamwambia andaa kabisa Guest mimi nitalipa kila kitu, siku ikafika akanielekeza pa kukutana nikaenda nikakuta kashafika moja...
  15. Tamati

    Chagamoto tunazokumbana nazo wenye matatizo ya kusikia katika jamii, njooni tupeane moyo na namna ya kukabiliana nazo

    Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, napenda niwashirikishe kuhusu hizi habari za kiafya. Ni miaka 10 hadi sasa nikiwa na hili tatizo la usikivu(kutosikia vizuri). Limeanza taratibu bila mimi kujua isipokuwa watu wengine ndio walinijulisha kuwa nina tatizo ni baada ya wao...
  16. Tamati

    Polisi wanalipwa kiasi gani cha mshahara? Naomba mnijuze

    Polisi, JKT, JWTZ na Jeshi la Magereza wanalipwa kiasi gani cha mshahara, naomba mwenye salary scale yao aweke hapa. Uzi tayari.
  17. Tamati

    Ushahidi: Chanzo cha bwawa la Mtera, rambo, hogo, tango, mboga aina ya kibamia ni

    -Kuogelea mabwawa ya aina tofauti tofauti -Kubeba vitu kwa mifuko tofauti tofauti aina rambo -Kula mihogo aina mbalimbali ya kuchemsha, kutafuna au kuchoma -Kula matunda aina ya matango yenye ukubwa tofauti tofauti -Kuonja kila aina ya mboga yenye asili ya bamia. Wito: tubaki njia kuu, ukionja...
  18. Tamati

    Nimetolewa kwenge group la UVCCM la WhatsApp la Tawi la Chuo kikuu kimoja hapa mjini, kisa nimehoji kuhusu taarifa aliyoileta M/Kiti wa Tawi

    Tawi hili la UVCCM la chuo kikuu cha Afya Muhimbili limekuwa likijadili mambo mbalimbali kuhusu Chama ila lengo kubwa ilikuwa ni kuhamasisha wanachama kujiandikisha ili wapatiwe kadi mpya za Chama ambazo zinadaiwa ni za Kielektroniki. Jana Mwenyekiti wa tawi hilo kaleta tangazo halafu nikaamua...
  19. Tamati

    Unatumia mbinu gani kudai watu unaowada? Nafikiria kutokopesha watu ovyo ovyo ila roho inanisuta

    Nimekuwa muhanga wa kukopesha watu hela ila silipwi kwa wakati na wengine hawalipi na kuamua kukaa kimya, nachoka kuwadai kwani wanakaa kimya ninapowadai, wengine wanamua kubadili namba. Mwaka 2016, nilikopesha mtu hela na akaahidi kunilipa baada ya muda fulani, alinilipa kidogo halafu nyingine...
  20. Tamati

    Sitakunyima hata unikere vipi kwa sababu ni dhambi.

    Jana nikiwa naperuzi humu jukwaani nikakutana na uzi wa mdau akidai kuwa amemlisha mke wake chakula bila mboga sababu ya tabia ya mke wake kutompokea pindi anaporudi kutoka kwenye mihangaiko akiwa na mzigo wowote hatimaye jirani yake kampokea na kumpa nyama aliyokuwa amenunua. Baada ya hapo...
Back
Top Bottom