Search results

  1. L

    Sumaye afunguka suala la familia yake kunyang'anywa mashamba mawili!

    Amejitahidi kuongea points nyingi ktk press conference yake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Waraka wa Maiga: Tukitenganisha magugu na ngano tutaongea lugha moja

    Kwahyo wewe hupigagi kura? Basi subiri wanaume tukuchagulie viongoz mwk 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Waraka wa Maiga: Tukitenganisha magugu na ngano tutaongea lugha moja

    Ni aibu sana kuona Cdm ,chama pekee cha upinzani kilichobaki Tz kikiwa hakina agenda yoyote ya kitaifa. Sahv Cdm wamebaki kudandia tu matukio ya hapa na pale. Sie wapigakura tunasubir tu uchaguzi 2020 ili tuwanyooshe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    IQ ya mtu unaipima kwa matokeo ya F4 na F6? Au ndo porojo za kichadema hzo? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Waraka wa Maiga: Tukitenganisha magugu na ngano tutaongea lugha moja

    Wewe nae unachekesha kweli. Yaani ushauri wa wapinzani type za Lissu au? U need to be serious japo kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Vita ya uchumi baina ya Tanzania na Canada imekolea ukitaka kushinda vita, pigana vita

    Canada haina ukubwa wowote. Acheni porojo nyie. Trump,Theresa May na viongozi wengine Ulaya wako busy kupambana na hali zao. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Nimeamini CCM kwa sasa imezidiwa na CHADEMA kwa hoja na propaganda

    Cdm is unfortunately being sodomized by Tundu Lissu. Let us wait for 2020 elections Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Hata kipindi cha vita dhidi ya wakoloni kuna waafrika walikuwa katika jeshi la mkoloni, simshangai Tundu Lissu

    [emoji3] [emoji3] waandishi hbr wengi hawana vyeti,mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Humphrey Polepole afanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Marekani Ofisi ndogo Lumumba-Dar

    Marekani ni watu makini. Hawawezi kujenga urafiki chama cha watu kama Lissu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Prof. Kabudi awe wa mwisho.Tufumue vyuo vya serikali vimehodhi ujinga ndani ya Elimu

    Huyu aliyeandika hii thread haeleweki nini haswa anazungumzia. Pia yuko shallow kwenye suala zima la propaganda. Arudi darasani akajifunze. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Sheikh Ponda: Hali ni mbaya sana, mauaji ya kutisha yanaendelea nchini na Serikali ipo kimya

    [emoji3] [emoji3] kama hao waliouawa ni ndg au rafiki zake,aseme tu. Sio kutuijia na kauli za jumlajumla tena kwa kurejea taarifa za magazetini. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Ndg zangu msipoteze muda kumjadili taahira Tundu Lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Eti tumeshindwa kesi wakati kesi bado inaendelea

    Pole ndg. Ni rahisi kujua forum hii inamilikiwa na mtu wa mrengo upi kisiasa. Hvo wala usiumize akili yako kuhusu hili Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya azidiwa na kukimbizwa hospitalini baada ya kuwekwa rumande

    Bavicha wanazidi kutapatapa tu awamu hii Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    Sirari kwachafuka baada ya polisi kutumia silaha za moto na mabomu ya machozi kumkamata Heche na wananchi kumlinda

    Kibiti washashikishwa adabu kitambo. Hivo wacha kuwadanganya wasijeingia mkenge. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. L

    Ishu ya bombardier haiwezi kubadilisha upepo

    Mie nafurahi kuona namna gani Bavicha wamebinywa kisiasa mpk wamekosa kashfa za kuikosoa govt ya Jpm. Sahv Bavicha wamegeuka watetezi wa maharamia wa kizungu tu. Shame on you fake opposition politicians. Mlizowea kuishi kwa mgongo wa ufichuaji kashfa enzi ya JK. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. L

    Askari Mstaafu aliyekuwa ananyonga watu Gereza la Isanga-Dodoma

    Kazi ni kazi tu. Mbona wanaofanya kazi ya ujambazi hamuwashangai? Bora huyo yeye ananyonga kisheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. L

    TLS ni Taasisi isiyo na msaada kwa wananchi, nyumba zetu zinabomolewa Kimara

    TLS is a mere association of SABOTEURS. Good news is that soon it will be dissolved and replaced by board of Lawyers' Ethics. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. L

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    But soon or later he will pay for that. Traitors do not prevail for too long. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom