Search results

  1. ijooo

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Umpige lissu risasi halafu uwasamehe wabakaji bado ujitie una hofu ya mungu ukatae kutubu unategemea lipi uendako ............
  2. ijooo

    Tundu Lissu puts Magufuli on spot after assassination attempt

    Does magufuli sleep while this guy is alive
  3. ijooo

    Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

    Wewe lini umeshuhudia magufuli akitenda haki makinikia ilikua njama escrow njama na sasa hii ttcl pia ni changa la macho tu tume itaundwa na wezi wataamua watoe shs ngapi haya maigizo tu
  4. ijooo

    Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

    Nina uhakika ccm hawatakua madarakani 2020 watakao dhani naota mtakumbuka haya maneno yangu ........ccm pamoja na nguvu la jeshi na polisi still hawata amini kitakachowakuta 2019 this is a fact
  5. ijooo

    Kipindi rasilimali zinauzwa na kubinafsishwa Magufuli alikuwa waziri, na waliwabeza wapinzani kuwaita wapingaji

    Aise umesema ukweli mtupu wooote wezi yaaani wooote viongozi mpaka wananchi wezi wanafki wakubwa
  6. ijooo

    Police Central Dsm, Kwanini watuhumiwa wakae shimoni zaidi ya miezi miwili!?

    Wananchi wanapenda kunyanyaswa ndo maana wacha wafanye wanavotaka sisi ni wapuuzi kupita dunia nzima ndo maana mungu katukusanya tanzania tuteswe huku tunashangilia " a dead nation"
  7. ijooo

    Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

    Hivi kama comments are nonsense huoni wamejifunza kwa wale wanaoshangilia akiongea magufuli au unaonaga akiiongea cha maana wakati watu wanashangilia
  8. ijooo

    Maoni: Mh Makonda apewe wizara ya nishati tuzike mgao wa umeme

    Kashindwa kumpelekea wife wake umeme amzalie ndo ataweza kuongoza idara nzima pelekeni upuuzi kolomije
  9. ijooo

    Makonda na hili la Fiesta nalo limekushinda, Fiesta kupigwa usiku kucha

    Prostitutes are the politicians can't you see how they kiss ass to keep the position they hold can't you see how they sale their souls to an evil govt?
  10. ijooo

    Makonda na hili la Fiesta nalo limekushinda, Fiesta kupigwa usiku kucha

    Kulia sana kanisani magufuli akajawa na mahaba zaidi kwake
  11. ijooo

    Watu wenye silaha wavamia kambi ya CHADEMA Iringa na kuondoka na mtu

    Nafkiri mda umefika kwanza kila mtu mwenye dhamira ya kweli ya kuindoa ccm madarakani ajipange vzr.mapinduzi hayatoki kwa viongozi true revolution comes from the people the line is drawn its time the force they use is used against them individually hawahawa wa mtaani wakianza kuokotwa na sare...
  12. ijooo

    Old school rap/hip hop

    Eric bennet-- love dont love me Eric bennet- jorgy porgy Mobb deep fet lil kim--quite storm ALFONZO HUNTER -JUST THE WAY my forever favorite song this one Boyz to men fet fabolous- roll with me etc etc
  13. ijooo

    Huu Ubunifu wa Roma Mkatoliki kila aingiapo Stejini hautakuwa na madhara baadae?

    Viva roma tanzania kuna watu wa aina kadhaa wanaotisha watu,waoga na wanaojipendekeza saana kwa bashite na mkulu mtoa mada jiongeze hapo upo kundilipi.....halafu kuna kundi lingjne linaitwa we want ccm out kwa njia yeyote unaweza ukaja huku
  14. ijooo

    Watanzania tusipomuunga mkono Rais Magufuli tutakuja kulia kwa kusaga meno kama walibya

    Wameanza kampeni ya uraisi mapema mno hapa unabidi ujiulize saana wanaogopa nini wanajishtukia kwa lipi kwanini watutishe mara libya mara sjui wapi hii nahisi kuna mawili ccm washagundua magufuli hakubaliki hata ndani ya ccm au vijana wanataka sifa mpaka wamekuwa confused .......c wafanye yao...
  15. ijooo

    Mbunge Agnes Marwa(CCM) amtaka John Heche kuacha kuzungumzia maswala ya nje ya Mkoa wake

    Halafu akachagua ujinga zaidi umuongoze so sad
  16. ijooo

    Msigwa umejizolea aibu ya mwaka! Je, kanda ya ziwa hakuna Wahehe?

    Walewaliofiwa na tetemeko la katerero waliambiwa mwafwaa hawa wengine wakaambia waziri awe na hyuman face lets call a spade a spade mr president anapeeeenda watu wa chato kawapa airport kuuubwa kuliko hii ya hapa kolomije
  17. ijooo

    Usiogope wanavyomshangilia

    Na anataka bado tumuombee
  18. ijooo

    Waziri wa fedha: Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 ndani ya mwaka mmoja

    Je nani mkweli raisi anasema tunatumia pesa zetu kujenga reli waziri anasema bungeni mubashara madeni tunayokopa kujenga reli na mipango miji who is telling the truth?
  19. ijooo

    Malaika mfunga mitandao atatua leo Bungeni

    Wameshindwa china na uganda ndo wataweza hao puppets wa bungeni
Back
Top Bottom