Search results

  1. M

    Msaada: Taarifa zangu za diploma hazipo NACTE

    Naomba mnisaidie nimemaliza diploma ya procurement ktk chuo cha st joseph mwaka 2018 nataka kuendelea ngaz nyingine lakin nashindwa kutokana na taarifa zangu hazipo NACTE na kila ninapo ulizia taarifa zangu pale chuo sipati ushilikiano mzr msaada wenu
  2. M

    Msaada

    Habarini za kazi poleni na miangaiko ya maisha! Naombe msaada kama kunauwezekano wa kusafisha macho yakawa meupe kama watu au kama kuna dawa nijulisheni
  3. M

    Msaada:Nawaza kutoa kijiti kabla ya muda wake kuisha ili nipate mtoto?

    Poleni na majukumu ya kazi naomba kuhuliza swali? Nina mke wangu nilie zaa nae mtoto mmoja baada ya kuzaa tulienda kupandikiza kijiti lakin baada ya muda tukaona tunahitaji mtoto wa pili lakini ule muda kupandikiza kijiti bado haujaisha. Je? Naweza kwenda kukitoa ili nipate mtoto kabla ya huo...
  4. M

    Mtoto ili aweze kuishi na baba inatakiwa atimize miaka mingapi kwa mama yake?

    Mtoto hili aweze kuishi na baba inatakiwa atimize miaka mingapi kwa mama yake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Msaada; Napenda kuongea kiingereza lakini nashindwa

    Napenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kozi ya community development ina mahesabu?

    Wakuu poleni na majuku naulizia aliyesoma Bacherol of Community economic development hii course ina hesabu ni hilo tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Je naweza lipia kodi ya jengo katika eneo ambalo alijapimwa ?

    Je naweza lipia kodi ya jengo katika eneo ambalo alijapimwa
  8. M

    Nimejenga nyumba katika eneo ambalo halijapimwa, je naweza kupata hati ya nyumba?

    Nimejenga nyumba katika eneo ambalo halijapimwa na serikali, je naweza pata hati ya nyumba
Back
Top Bottom