Search results

  1. THEGENTLEMAN1996

    Hivi mazoezi kama haya kwa jeshi letu yanaweza kutusaidia Dunia ya teknolojia ?

    Samahani wakuu wa ulinzi ! hivi majeshi yetu yana TEKNOLOJIA ambayo ipo SIRINI sana bila sisi kufahamu ? kuna video nimeitazama ni ya muda mrefu, wanajeshi wakipiga mazoezi makali PHYSICAL,wanapita kwenye TOPE,mara chini ya fensi, lakini je kwa dunia ya BOMU LA NYUKLIA AU BOMU LA ATOMIKI...
  2. THEGENTLEMAN1996

    Jifunze herufi za kijeshi (NATO) na code language zao

    habari ndugu katika jamiiforums ! MIMI si MWANAJESHI wala mtu wa usalama wetu ila nimezipata google tu ! kwanza kabisa nikushukuru kwa kutumia muda wako kupitia uzi huu,zifuatazo ni herufi 26 na zitamkwavyo na majeshi ya NATO.lakini pia nimeweka LANGUAGE CODE ya kuziandika kwa usashihi. hizi...
  3. THEGENTLEMAN1996

    Je nifanyeje niweze ku_log in kwenye account Mzumbe ?

    Ndugu, Naomba mnijulishe nifanyeje ili ku_log in kwenye account ya mwanachuo aliechaguliwa leo pale Mzumbe...
  4. THEGENTLEMAN1996

    Hivi umewahi kujiuliza kwanini condom zipo tatu?

    Ndugu, Hivi kwanini pakiti ya condom huwa zipo tatu tu? Mimi nimejiuliza nikaona kuwa kiwango cha ku_pees ni mara tatu kwa hali ya kawaida. Je wewe unafikiri ni kwasababu gani ?
  5. THEGENTLEMAN1996

    Kumbe uchawi ni kanuni na mahesabu

    Habari ndugu zangu, Tangu kuzaliwa kwangu sikuwahi kufahamu chochote kuhusu uchawi, uganga na mizimu ipokuwa nilisoma thread za mshana jr na wengine tu. Sasa huku nilipo naishi kwenye chumba ambacho nimepanga kwa mama mmoja ambaye nilisikia habari zake kuwa ni mchawi sana. Mama huyu ni daktari...
  6. THEGENTLEMAN1996

    Natafuta kazi ya kijitolea Tabora

    mimi ni jinsia ya kiume(25) nipo Tabora nahitaji kujitolea kwa kazi yoyote halali. mfano.kazi ya teaching English medium school, computer network,photo shop. na kazi zingine.. bureeeee kabisa.
  7. THEGENTLEMAN1996

    Je ni taratibu zipi hufuatwa ili kuanzisha kituo cha kulea watoto yatima au waishio mazingira duni ?

    Habari ndugu JF, Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Naomba kufahamu nini cha kufanya ili kuanzisha na kumiliki kituo hicho ?
  8. THEGENTLEMAN1996

    Tabora: Natafuta laptop

    natafuta laptop kwa bei ya 350,000/= RAM kuanzia 2gb
  9. THEGENTLEMAN1996

    Kama trillion za ACACIA zisipolipwa serikali itawaambia nini watanzania ?

    Ndugu JF, Kadri tulivoaminishwa na serikali kuhusu wizi wa ACACIA, Je hizo trillion zitalipwa au hazitalipwa? Kama zisipolipwa serikali itawaambia nini wananchi?
  10. THEGENTLEMAN1996

    Bosi wangu anamla mke wa mjomba wangu live!

    Mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku Mwanza. Sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini. Sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu, kila siku mke wa mjomba anapokuja mimi najificha kama sikuwepo na hajui kama mimi najua jambo analofanya na bosi wangu. Wakifanyana...
  11. THEGENTLEMAN1996

    360 ya Clouds tv: Mazingaombwe ya JWTZ

    Leo nimetazama kipindi asubuhi. Yaani JWTZ wana kitengo cha MAGIC, leo nimeina wanatafuna CHUPA, karatasi inakua NJIWA, NJIWA anakuwa PAKA, Pia wamesema wamefundishwa eti si UCHAWI. kumbe hata yale matofali ni hovyo... TANZANIA YA MAGIC... Tazameni muone
  12. THEGENTLEMAN1996

    Kwanini wanawake? Lakini si wote

    Ndugu JF, Kiukweli bila kupindisha ukweli, mimi huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya wanawake. Kumbuka si wote ila wengi wao. 1.Kwanini wanawake wengi hujihusisha na uchawi, kwa mfano; house girls wengi wa visa na matukio mengi ya kishirikina. Mfano mwingine hata mitaani tetesi za wachawi...
  13. THEGENTLEMAN1996

    nauli ya kutoka TABORA TO ARUSHA kwa bus ni kiasi gani?

    ndugu jf naomba kujua nauli ya Tabora to arusha ni shilling ngapi ? nifahamisheni muda wa safari pia.. je gari zipo na kufanya safari kila siku ? NB: nipo mbali na maeneo tajwa hivo nisingeuliza huku..
  14. THEGENTLEMAN1996

    Nawezaje kuishtaki Vodacom kwa udanganyifu huu?

    Vodacom wana kifurushi cha SMS bila kikomo kwa siku 30, lakini kumbe hizo SMS zina kikomo cha SMS 5000 tu. Sasa kwa mantiki hiyo Vodacom wanadanganya wateja wao na mimi nikiwa mmoja wao. Sasa nifanyeje niwashtaki kwa kunidanganya.
  15. THEGENTLEMAN1996

    CHINI YA DAKIKA 5 ?

    ndugu ... nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga" sasa naona kama ni tatizo kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana. kama ni mazoezi ya mwili nafanya tangu nikiwa mdogo sana. balanced diet ipo. nipo mwanza...
  16. THEGENTLEMAN1996

    Kujiunga chuo kikuu na mkopo

    naomba kujua haya: ninawezaje ku apply chuo fulani mfano udom moja kwa moja? je board ya mikopo itaanza lini kuruhusu watu waombe?
  17. THEGENTLEMAN1996

    Faida za FIXED ACCOUNT

    ndugu zang JF, Naomba nipate malezo juu ya mambo haya: 1.maana ya fixed account 2.faida zake ni zipi ? 3.je hiyo faida hupatikanaje ? kwa mifano itakua poa zaidi.
  18. THEGENTLEMAN1996

    Je kwa haya nina nguvu za JICHO LA TATU ?

    Ndugu katika JF, Mimi si mtaalamu wa MAMBO ya AURA,meditation,supernatural power n.k lakini nimesoma thread za hayo mambo. kuna wakati najiuliza je hizo nguvu za asili na maajabu, ninazo ? pia nahisi kama nina UWEZO zaidi katika ulimwengu wa ROHO au JICHO LA TATU bila kujitambua. kwa naomba...
  19. THEGENTLEMAN1996

    Vijana wa mjini wana matatizo gani?

    Nawasailimu ndg,JF kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini. Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo : 1.viatu (60,000/= 2.t shirt (25,000/= 3.simu (300,000/= 4.mkufu(40,000/= 5.suruali (35,000/= n.k halafu eti anasema HANA MTAJI... je hizo...
  20. THEGENTLEMAN1996

    Natafuta kazi ya halali kwa muda usiozidi week 3

    natafuta kazi ya halali kwa muda usiozidi week 3. umri wangu ni 20yrs jinsia ni ME Najua ENGLISH Natumia COMPUTER Elimu yang kidato cha 4. NB: natafuta kazi yoyote halali.
Back
Top Bottom