Search results

  1. R

    Mama Kikwete anusurika kukamatwa na fedha bandia

    Ni kweli taarifa hii ya kutuchosha kwani ukishakua USA huwezi kutumia tena hela ya Madafu. Lete ishu za mana bana!!
  2. R

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    Ni harakati za kumuharibia Mheshimiwa kama ana chembe za Udini basi Mawaziri wangekuwa wengi Waisilamu kwani huko hakuna maamuzi MAKUBWA na mboni wakuu wa mikoa wengi Wakristo au ilo hamlioni acheni huo UDINI wenu, au ndo mawakala wa KUVURUGA Nchi. ACHENI HUO UPUUZI WENU.
  3. R

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Ninavyojua mimi huwezi kuchambua mpira kiasi hicho halafu hukawa huna timu Ulaya, inavyoonyesha wewe kama si ARSENAL basi utakua CHERLSEA subiri uone maajabu ambayo wewe utayaelezea au kuyachambua.
  4. R

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Inna Lillahi Waina Ilaihi Rajiuni. Sisi tumempenda lakini Mungu amempenda zaidi.
  5. R

    Kiboko ya Wanyama Wote

    Oya unajua bosi anataka kunifukuza kazi kwa sababu ya kucheka!:dance:
  6. R

    Ulaji chipsi kwa wanaume hupunguza nguvu za kiume

    Sasa itajuwaje maana ndio Biashsra yetu kwa mtindo huo tutakufa njaa.
  7. R

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    sasa kama picha hakuna tuamini kama makubwa kwa kusikia acheni uhuni wenu, Taarifa inasema kuna picha naangalia sizioni au ndo MBUZI KWENYE GUNIA
  8. R

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    hizo si hisia bali ndivyo ulivyo hakuna wa kumuudhi bali twakusikitikia dada yetu
Back
Top Bottom