Search results

  1. Kyawanjubu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ina maana 1xbet imekufa mbn mawakala wote wamekimbia kazi
  2. Kyawanjubu

    Cameroo: Ashinda $22m kampuni ya 1xbet yafuta account yake

    Wakuu mwenye nmba ya wakala wa 1xbet
  3. Kyawanjubu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman wakala wa 1xbet nisaidie I nampataje ? Aliyekuwa namtumia hayupo hewan zaid ya week anaitwa Mhode wa moshi
  4. Kyawanjubu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PSG kanichania nilimpa corner 5 kapata 3
  5. Kyawanjubu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba namba za wakala wa 1xbet
  6. Kyawanjubu

    Naishi naye bila hisia

    Hata mimi sjui nifanyaje Niko na uyu mke miaka 10 sasa .mtoto wetu Yuko darasa la 6.uyu mwanamke amekuja nivuruga baada kuwa na makelele .natoka kwenye miangaiko nimechoka . Nikifka nyumbani kelele naambiwa natoka kwenye michepuko. Saiz tunalala tu ni zaidi ya miezi mi 3 tnalala kitanda kimoja...
  7. Kyawanjubu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anayejua kutumia bonas ya SPORTYBET anisaidie
  8. Kyawanjubu

    Sipendi tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila hodi pamoja na kunilazimisha kunyoa ndevu zote

    Eti mimi ni mwanaume? Mwanaume anakaa nyumbani Kwa mama? We ni mvulana
  9. Kyawanjubu

    Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

    Arusha mitaa pale kisongo Tembo club yaani najitahid Kila nikifka pale naongeza umakini kama Niko na maji najimwagia kichwani
  10. Kyawanjubu

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Jana naangalia clouds tv wakafika kwenye maandamano ya chadema mwanza ukafka muda Lissu anaongea walikata Kila kitu wakaweka matangazo hata hayaelewek ni ya nn aise hii nchi bado sana
  11. Kyawanjubu

    Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

    Kuna sehemu moja Kuna kaupepo Kila nikipita na drive mida ya 6 mchana lazima kausingizi kaje Kwa mbalii
  12. Kyawanjubu

    Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Hatna ndoa lakni tmezaa watoto wawili
  13. Kyawanjubu

    Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Asante mkuu nitajitahidi maana Kila mtu ananambia nijishushe kwake
Back
Top Bottom