Search results

  1. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Scholarships nyingi kwa uzoefu wangu zinahitaji work experience. Ila pia moja kwa moja bila work experience inawezekana. Unaweza kupata kwa njia nyingine ila uwe na ufaulu mkubwa sana. Unfortunately, scholarships za namna hii sina experience nazo sana kwahiyo siwezi kuwa na msaada mkubwa kwako...
  2. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Inategemea Mkuu. Unaweza kucheki list ya programs zote hapa https://si.se/app/uploads/2017/10/sisgp-eligible-master-programmes-2023_2024.docx-2.pdf Kama link haifunguki tafadhali nijulishe ili niweze ku-attach pdf doc
  3. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    23/24 utakuwa umechelewa tayari. Kwahiyo jipange kwa ajili ya mwakani Mkuu. Mchaklato wa admission utaanza kati ya October hivi..
  4. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Mkuu unamanisha uruke toka Diploma kwenda Master ama?
  5. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Sina hakika sana na hii prog. Ila ngoja nicheki list ya vyuo na programs zake nitaweka hapa.
  6. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Mkuu, bila shaka majibu ya maswali yako, Mdau hapo juu kakujibu vizuri kabisa. Kama bado una dukuduku unaweza kuuliza tena Mkuu. Karibu.
  7. Heaven Seeker

    YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

    Kumkosoa mtu ni mpaka umuite Mjinga? Mbona sijaona mahali yeye alipotukana mtu?
  8. Heaven Seeker

    Karibu upate ushauri mbalimbali kuhusiana na changamoto za maisha bila malipo

    Nipo hapa kupokea maswali ya namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha. Karibuni. Nitaelezea kulingana na maarifa niliyojifunza kwa muda mrefu kidogo.
  9. Heaven Seeker

    Karibu upate ushauri mbalimbali kuhusiana na changamoto za maisha bila malipo

    Heshima kwenu Wakuu. Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa. Je...
  10. Heaven Seeker

    Kiasili Mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana, ishi nae kwa akili

    Wote tuliochangia na kusoma uzi huu endapo matendo yetu yangeakisi hata robo ya huo ustaarabu tunaoutamani hakika Jamii ya KiTanzania ingekuwa mbali sana. Ila utakuwa hata sie tuliochangia hapa tunaroho za gubu hatari!
  11. Heaven Seeker

    Kiasili Mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana, ishi nae kwa akili

    Trust me. MTanzania hajachukua namba moja. Ukitembea tembea duniani ndio utajifunza mengi!
  12. Heaven Seeker

    Kiasili Mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana, ishi nae kwa akili

    Mtoa mada amezungumzia watu si Serikali. Kwenye uchangiaji ndio ikaja hilo la kuzungumzia Serikali.
  13. Heaven Seeker

    Kiasili Mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana, ishi nae kwa akili

    Mie nimeishi nje ya nchi nikuhakikishie kuwa, ingawa Waafrika hatupishani sana ila WaTanzania tunaunafuu ukilinganisha na Waafrika wengine. Kwa Afrika, kwa uzoefu wangu nadhani Afrika Mashariki tunajitahidi ukiondoa Wakenya kidogo. Watu wa Afrika Magharibi wakiongozwa na Nigerians wana roho...
  14. Heaven Seeker

    Kiasili Mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana, ishi nae kwa akili

    Sio Watanzania tu. Watu wengi tunaotokea nchi maskini ndivyo tulivyo. Tena ukitoka nje ya nchi ndio utajua afadhali kidogo na sisi Watanzania. Nchi nyingine kama Waarabu na Wanaijeria ndio majanga kabisa. Kama Nigerians hao wana roho ngumu hatari. Yaani unakuta mtu yupo tayari kukufanya...
  15. Heaven Seeker

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Ndiyo anaweza kupata. Bila shaka unamanisha Scholarship kwa ajili ya Master program!
  16. Heaven Seeker

    Biashara ya Kusaga na Kukoboa: Uzoefu wangu wa miezi 15

    Achana kabisa na mambo ya mikopo. Jikusanye mdogomdogo tu kisha utapanua mtaji wako. Kuwa mvumilivu. Mambo mazuri huchukua muda kidogo.. Najua unaweza kuwa na shauku ya kutaka sana kukopa na ukaachana na huu ushauri tunaokupa wa kutokopa, ila iwapo Roho wa Mungu atakutembelea ukakubaliana na...
  17. Heaven Seeker

    Ushauri: Ng'ombe wa Maziwa na Maksai

    Jamaa kani inspire sana.!
  18. Heaven Seeker

    Ushauri: Ng'ombe wa Maziwa na Maksai

    Ahsante sana Mkuu. Unaweza kutusaidia kuwa wanatoa lita ngapi kwa siku?
  19. Heaven Seeker

    Ushauri: Ng'ombe wa Maziwa na Maksai

    Amina Mkuu. Huwa ni shauku yangu kuwaona Wazee wanakuwa na furaha kwa siku zao za hapa duniani zilizosalia. Suala la uchumi wa Familia ni kichocheo kimojawapo ktk kusababisha hiyo furaha! Ni ngumu kufikia at the maximum level, lakini naamini kilicho ndani ya uwezo kina stahili kufanyika...
  20. Heaven Seeker

    Ushauri: Ng'ombe wa Maziwa na Maksai

    Mkuu. Hawa Ng'ombe kwa hapa Bongo wanapatikana kweli?
Back
Top Bottom