Search results

  1. Bukondamoyo

    Kwanini weekend hii mechi za Ligi Kuu hazifanyiki, shida nini?

    Bado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa...
  2. Bukondamoyo

    Kwanini watu wanapigia upatu Moshi liwe jiji ilihali Morogoro Mjini ni kubwa kuliko Moshi?

    Wadau naomba msaada kwa wajuvi wa mambo ukiyatoa majiji yetu pendwa 6. Moro, Moshi na Iringa ndo miji inayofuatia kwa ukubwa lakini Moro is more bigger. Sasa swali langu kwanini Moshi iwe jiji badala ya kuanza na Morogoro? Nawasilisha
  3. Bukondamoyo

    Selection za kidato cha tano 2020/2021 tayari. Naomba mwenye link jamani

    Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba msaada wakuu kuna dogo langu hapa nimsaidie kucheki.
  4. Bukondamoyo

    HUU HAPA UKWELI KUHUSU MUZIKI TOKA MWAKA 2020 UANZE

    Habari za jioni wapenzi wote wa burudani na wana jf kwa ujumla.. Nitaenda moja kwa moja kwenye mada kama heading inavo state Toka mwaka uanze wasanii mbalimbali hapa nchini wametoa nyimbo mbalimbali hii yote ni kwajili ya: -kuburudisha na - kutuelimisha kama jamii BASI zifuatazo ni nyimbo...
  5. Bukondamoyo

    Amini nawaambia siasa ni mchezo mchafu

    Huwezi amini kelele zote za watu wanaotaka Membe awe Mgombea Urais kupitia CCM 90% ya wapaza sauti ni watu kutoka CHADEMA. Swali: Kwanini CHADEMA wanataka Membe na si Magufuli? Je, CCM ikimpitisha Membe kwahiyo CHADEMA hawatasimamisha mgombea ili kumuunga mkono Membe? Na kama Membe akipitishwa...
  6. Bukondamoyo

    NAOMBA msaada jinsi ya kubadili my profile name

    Nawasilisha uzi najua wataalamu kina king kong Demiss manengelo nawengine wenye ujuzi na uelewa kuhusu hili mtanisaidia
  7. Bukondamoyo

    Walimu wa Shule ya Sekondari Magu wajitolea kujenga chumba kimoja cha darasa

    . Monday .February 18,2019 Walimu wa Shule ya Sekondari Magu mkoani Mwanza, wameweka Historia mpya katika shule hiyo na wilaya ya Magu, kwa kuchangia takribani Milioni 14 kwa ya ajili ya ujenzi wa chumba cha Darasa shuleni hapo, ikiwa ni jitihada za Walimu kukabiliana na upungufu wa vyumba vya...
  8. Bukondamoyo

    Jamani nani anauelewa mpana kuhusu lottery club na club of rome.....

    Refer the heading above... Wana jf nataka mtu anieleweshe kuhusu hivyo vitu hapo juu maana kuna mdau mmoja alinambia hivyo ni mali ya illuminate members, ie, secret society
  9. Bukondamoyo

    Muda muafaka kwa vijana kuanzisha chama kingine cha upinzani

    Habari ya jumapili wana jf,,, nianze kwanza kutoa pole kwa mashabiki wa simba na watu wote wenye kulitakia mema taifa letu hasa kwa janga lililomkuta ndugu yetu Mo Dewji. Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, ni dhahiri kuwa chadema tunaiaga kwa mtindo huu, japo kuna malalamiko kutoka sehemu...
  10. Bukondamoyo

    Marko 7 ,5.....

    Mi ni mkazi wa mji mdogo wa Magu mkoa wa Mwanza,, leo katika uwanja wa Sabasaba nmemsikia mchungaji wa kanisa la adventisti sabato,,, Marko 7,kuanzia mstari wa kumi na tano.. Usemao 'Marko:0.5 Basi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuyafuata mapokeo ya...
Back
Top Bottom