Search results

  1. Mango833

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Islamic banking, kuna islamic insurance, nk. Usilinganishe ukristo na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa maisha. Ndio huku riba ni haramu na ukristo upo kimya
  2. Mango833

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Umemaliza huwezi kumpangia cha kufanya nimefungua duka unilazimishe kuuza na pombe. Fungua lako uuze
  3. Mango833

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Ni Janja Janja ya Hospitali binafsi. Hospitali nyingi zinatajirika kupitia NHIF. Serikali iwe Bold kusimamia maamuzi mambo ya ulimboka yatajirudia wanataka kujinufaisha kupitia uhai wa watu.
  4. Mango833

    Ifike mahali huko kusini mkuheshimu sana! Leo wametest mitambo tena

    Kusini hata Nyerere palimshinda kuna kijiji kinaitwa Kitama waliiba Mwenge. Kuanzia George Huruma mkuchika ni waziri mpaka mama alipomtoa
  5. Mango833

    Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Nimefuatilia marumbano yenu nimegundua wew ndio kiazi. Unaacha kujenga hoja unakimbilia matusi na upo so emotional. Yaani kama una elimu basi bado hujaelimika. Unalazimisha unachohisi wew ni sahihi wote tuone ni sahihi
  6. Mango833

    TEC jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya huu upotoshaji unaoendelea duniani, na pia nchini mwetu kuhusu kauli ya Papa.

    Wapo kimya utafikiri hawajui. baada ya kuwaruhusu kuoa na kuolewa wao wanaruhusu Sodoma na Gomora
  7. Mango833

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Angekuwa Tajiri sana maana speed ya kujilimbikizia mali ilikuwa kubwa
  8. Mango833

    Tajiri Bakhresa Kujenga kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Alizetia Kwa Bilioni 255 Malawi. Kwa Nini Hawa Matajiri Wanakimbia nyumbani Tanzania?

    Vibali viip. Muda wa mwendazake alidaiwa kodi 7B. Hali hiyo ndio ilionesha umuhimu wa kutawanya investiment zako vinginevyo unakufa kwa pressure.
  9. Mango833

    Vigogo CWT wakomba Billion 7.2 ndani ya wiki moja

    Bado kang'ang'ania unafikir kila mwez 4.8B ni mchezo
  10. Mango833

    Vigogo CWT wakomba Billion 7.2 ndani ya wiki moja

    Na ndio maana alikataa uteuzii kumbe kuna fedha za Bure nying sana. 7.2 B CWT wanafanyia nin. kuna haja ya serikali kuruhusu vyama vingine vya walimu ili kuruhusu walimu kuchagua wap wajiunge
  11. Mango833

    Papa Fransis amfuta kazi kiongozi wa kanisa aliyepinga mabadiliko yake

    na ndevu zake analiomba Zege limsamehe madhambi yake
Back
Top Bottom