Search results

  1. K

    basi la azam fc

    hii ni timu hasa. achana na yanga au simba-bure
  2. K

    Wananchi wavamia shamba la Nabii Josephati Mwingira Break Throw Mapinga

    hapo hakuna nabii.walinzi wa kimasai kumlinda nabii wa Mungu. Hii ni ya mwaka!!!!!
  3. K

    Balozi Ombeni Sefue kumrithi Luhanjo

    Na Rupia pia alikuwa invisible????. haina ukweli hii. Sefue anaweza kuchukua
  4. K

    Compare & contrast..who is the best

    kama jorkate ana vyote hivyo ukicheche wa nini tena kwa diamond. Hivi huyu diamond darasa la ngapi vile!!!.inachekesha
  5. K

    Miss Tanzania achukua Jeep lake

    mpaka ameshatolewa miss world ndo anapewa.mimi naona angenyimwa tu maana ameshashindwa!!!!. ataishiwa kuwa kama wema na jokarte tu. Vijana wa mjini wakae mkao wa kula
  6. K

    Bonge la Toto

    hakuna kitu. lete vitu vyenye mashiko si mapicha yasiyo na maana. wote kawaida sana
  7. K

    kuna tatizo gani na airtel?

    Nadhani alimaanisha tigo. airtel haina shida ila tigo ndo kwenye shida zaidi
  8. K

    Mama Mkwe kasababisha nimpe mimba mke wa mtu!

    Tatizo kubwa hapa ni mwanaume anayetaka kuoa. Sheria inasema uoe kwanza ndio uonje. kama angetangaza ndoa rasmi lazima wasamalia wema wangemtonya. hizi sheria zina maana yake na ukijifanya kukwapua lazima upatikane. POLE CHUKUA ZIGO LAKO NA URUDISHE MAHALI
  9. K

    Version of TV vs. MOBILE

    ongezea hii. mobile can be changed any time but TV.............
  10. K

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    hicho cha duksni siku kikionja ya wengine ndo jumla. jitahidi kuwa board guard hasa
  11. K

    J. Lopez ooouuuuiii!

    After all she is 42 years old.sioni kipya
  12. K

    Mwanamke akutwa kama alivyozaliwa ndani ya kanisa

    This is jamii photo mbona unaleta stori tu bila picha.Unachanganya masomo wewe
  13. K

    Je hawa ni vipi

    sijui kama huu nao unaweza kuitwa uzuri. Huu ni ugonjwa
  14. K

    Kipindi hiki ni kwa wana CCM na hasa Serikali pekee?

    Kipindi kinaboa sana. hata mwandaaji ni mchovu mno na hana maswali ya kidadisi. Huyo sijui Mwandaaji sijui Munyu katoka wapi?????. hana mvuto
  15. K

    Wakuu hii ndio yenyewe kabisaaaaaa

    Hapa lazima ni ukerewe nansio
  16. K

    Wabunge wa NCCR-Mageuzi wajipanga kumng'oa Mbatia

    Mbatia nadhani imetosha maana hana mvuto kabisa.yeye ni ccm B
  17. K

    Kama ni tuzo ya PhD ya heshima katika miaka 50 ya uhuru nani anastahili kupewa?

    EDWARD LOWASA kwa kuanzisha shule nyingi za kata
  18. K

    Kisarawe: Jimbo maskini kuliko yote Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa maeneo yote masikini , yenye watu wasiosoma, na mabyao yamesahaulika kimaendeleo ndio hukumbatia ccm.wacha waendelee kuonja joto ya jiwe maana wanajitakia. AFADHALI WASUKUMA WAMEANZA KUAMKA PENGINE WATATUOKOA
  19. K

    Upendeleo wa wazi TBC Habari

    Hivi unategemea nini kutoka kwa Clement Mshana aliekuwa maelezo kwenda kuwa mkuu wa TBC. na bado hali itakuwa mbaya zaidi
Back
Top Bottom