Search results

  1. Abuu Abdurahman

    Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

    Pesa inapatikana lakini lazima mtu awe na ramani kwanza, uyo mwanafunzi anasoma wapi?
  2. Abuu Abdurahman

    Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Ni dalili ya kuwa husomi, unaupungufu wa shule kichwani Ukiwa umejiandaa vyema hutaogopa mitihani bali ndio utaomba ije kila siku, kwasababu ikija unaibutua Kuwa na mapenzi kwa unachokisomea, usome kama mtu ambae unataka kuwa expert kwenye hilo eneo lako
  3. Abuu Abdurahman

    Kwanini haya yanafanyika Zanzibar?

    Eeh.. Samahani, kazi ilikua inahusiana na kitu gani?
  4. Abuu Abdurahman

    Punguza mazoea ukishaanza kuzisikia hizi kauli kutoka kwa mwanamke wako

    Na mwanamke anaesema "Mimi ningekua mwanaume, wanawake wangenikoma" huwa anamaanisha nini?
  5. Abuu Abdurahman

    Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

    Umetema madini mzee.. Maskini aliejisahau ni mzigo mkubwa, apo ata familia inaweza kuja kukuletea sulubu baadae, umeangalia mbali sana Kwaiyo Matako makubwa anajichoresha tu
  6. Abuu Abdurahman

    Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

    Umeongea ukweli mtupu Kabla hujaoa hakikisha mwanamke kuwa anakupenda kinyume na hapo Majuto ni mjukuu “Women are loyal to their feeling” Kama uko kwenye feeling zake uyo ni wa kwako ila kama haupo hamna rangi utaacha kuiona
  7. Abuu Abdurahman

    Ramadhan Special Thread

    Allah atakabalie swaum zetu
  8. Abuu Abdurahman

    Believing in Yourself: Rising above Hopelessness through Striving for Success

    Umesema kweli Njia ni ngumu lakini sio kwamba haiwezekani, Bidii na dua zinalipa sana Ipo siku isiyo na jina wala tarehe kila lililokua ni ndoto litatimia kuwa uhalisia
Back
Top Bottom