Search results

  1. sakalambanda

    Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

    Sio kipimo icho, ni kwamba kama imeshuka ivyo ni kwa sababu tu' mwaka huu umekuwa wa neema vyua za kutosha kila sehemu mavuno yamekuwa mengi lakini kilichosababisha bei kushuka ni nini hasa 1: wakulima wengi hasa hawa wadogo mwaka uliopita walikaanga kwa maana iyo mitaji ilikata ivyo wameingia...
  2. sakalambanda

    Bunge: Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ifute chama kinachokiuka sheria, kanuni na taratibu za uendeshaji wa vyama

    Izo hela wanazopewa inaonekana zinakuuma! Si uende na ww upewe unadhani izo 200 millions wanazopewa kwa mwz ni nyiiingi? Ukiwa masikini ni taabu sana
  3. sakalambanda

    Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Kama ulichukua madada pw wale huwa hawana hisia kwani kila siku wanapigwa vyombo, hawana nyege kabsaa lazima ukute kavu hatari hatarii
  4. sakalambanda

    Mtu anafukuzwa kazi kwa barua tena ofisini sio hadharani

    Sio msahafu wala biblia kwa maana ya kubadilisha inawezekana, je icho kitu kimeisha fanyika?
  5. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Sasa wa kulaumiwa hapo ni nani?
  6. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Nimeanza kuwajua mnchoongea, sijui kama kuna ukweli kwa hiki
  7. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Labda Kigoma unayoisema unaishi peke yako
  8. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Acha ujinga wewe nenda kajionee mji ulivyo sasa iv watu wananunua viwanja hadi mil.200 alafu unadai umepata pesa unaogopa kununuakiwanja kigoma! Utakuwa limbukeni wewe,
  9. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Una uhakika mkuu, mbona unahoja zisizokuwa na mashiko! Kwa maneno haya uliyoandika, imeonesha kabisa hujaitembelea kigoma, hao wachaga tu unaoeasifia fuatilia vzr wamekuha kigoma hawataki kutoka, kuna fulsa kule na pesa ipo
  10. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Umaskini upi unaouongelea mkuu, kwa maisha ya mtu mmoja mmoja waha wapo vzr labda hujui hilo kila angle utawakuta, we unaongelea umaskini kigoma watu wapo Kasulu wana export bidhaa kutoka ughaibuni, nenda kaangalie bei za bidhaa kule kama ni tofauti na DSM uje uniambie
  11. sakalambanda

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Ivi nyie watu mmefika Kigoma kweli! Kama ndio kigoma maeneo yapi? Mnavyoviandika havina ukweli wowote haya ni mawazo ya kifashisti, mleta mada tuambie mkoa unaotoka kwanza alafu tuanzie hapo uzuri tumezunguka karibu nchi nzima hakuna sehemu unayiweza kutudanganya, huko unapopasifua labda utakuwa...
  12. sakalambanda

    Tuseme tu Ukweli. CCM ya sasa Tunafanya mambo ya kitoto hadi yanatia kichefuchefu

    [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. sakalambanda

    Kwa maisha wanayoishi ndugu zake Harmonize halafu nikimuona anatoa mil 9 kwa wengine, inaniuma sana

    Hakuna watu wanafki kama ndg, afadhali kidoogo wa tumbo moja, ngd wengi watakuona wa maana ukiwa nacho ukiwa huna hawana muda na ww utapigwa majungu mpaka basi yan, ndg mkubwa ni mama yako tuu alafu wengine ata ukiwasaidia hawasaidiki
  14. sakalambanda

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Hii issue technical hii, itafakarini kwa kina kabla huja comment
  15. sakalambanda

    Tetesi: Tetesi za Mahandaki ya fedha kwenye nyumba za ibada&majumba yawatumishi

    Akiri kama izi za mtoa post hazina tofauti na wale wenye akiri finyu kufukua mashimo kwenye makazi ya waliokuwa wazungu wakoloni kuna pesa/dhahabu imefukiwa
  16. sakalambanda

    Wanachadema, Hivi hili asemalo Dr Godwin Mollel ni Kweli?

    Kwan wale makatibu wa chama wa wilaya na mikoa ambao ni waajiriwa huwa hawalipwi? Achilia mbali shughuri nyingine, ununuzi wa vitendea kazi na mambo mengine; wewe unaona izo hela ni nyiiiingi! kwa taasisi kupata? Watanzania bhana!
Back
Top Bottom