Search results

  1. M

    Anayeua wanawake Dar es Salaam ashitukiwa

    Maeneo yenyewe yaliyotajwa jamani, keko machungwa, tandika, buguruni, mtongani, etc. Maisha yenyewe huko mgumu, so anawarubuni tu wewe ukirudi mihangaikoni unakuta wali kuku wakati uliacha hela ya matembele, sasa mbona huulizi kuku umepata wapi? Maisha bora kwa kila Mtanzania??
  2. M

    Huyu mwanaume ana makosa?

    Fukuzia mbali huyo hafai kuwa mke, si mwaminifu.
  3. M

    Kikwete kutinga Mahakamani?

    Jamani huyu Rahisi (nimemaanisha sijakosea) wetu nionavyo mimi anatakiwa kuwa shahidi wa kesi nyingi kubwa kubwa sana!!! Je inawezekana, haya!!??
  4. M

    Marafiki wa wapenzi/wenzi!

    Hapo kwenye red mkubwa, kama anao wengi atatambulisha wangapi? Ukiona rafiki, mpenzi, mchumba, mume hakutambulishi kwa watu tena akiwa na furaha jua huna binadamu hapo!!!! It is straight forward na kama ni rafiki, mpenzi au mchumba basi fikiria kwa undani mahusiano yenu, it means hakuthamini...
  5. M

    Mbunge Chadema atupwa mahabusu; Wafuasi wake wawapopoa polisi mawe, risasi zarindima

    Hivi jamani hawa polisi wa Tanzania wapo kwa maslahi ya nani? Eti wanasema polisi na jeshi haviruhusiwi kujihusisha na masuala ya siasa, ete wako neutral ni kweli?
Back
Top Bottom