Search results

  1. P

    Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    UTUKUFU KWA MUNGU JUU NA AMANI DUNIANI KWA WATU WENYE MAPENZI MEMA.
  2. P

    Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    wacha kuzungukazunguka jibu unalo
  3. P

    Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Mungu anaweza kukupangia uwe shoga?
  4. P

    Kamala Harris karibu Tanzania ila usitupige chenga kama Wazambia, au umekosea?

    usishangae ni time travel theory implemented [emoji23]
  5. P

    Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Kuna matukio na maadhimisho ya kikistu hasa katika kanisa katoliki Rais Samia amealikwa na amehudhuria. Sasa waislamu wameona mara nyingi analikwa na wakristu na hata pasaka wameona wakristu wanaweza kumwalika,hivyo wakatumia mwanya huo kumzuia asishiriki na wakristu. Kwa maana nyingine ni wivu tuu
  6. P

    China spy/survaillance baloon

    lakini mpaka tuache uchawi tunikite kwenye technology
  7. P

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    tafsiri ya hii?
  8. P

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    nguo zake walizipataje? je kama moto ulijuwa mkubwa ingekuwa rahisi mtu mkusogea karibu na kuweza kuchungulia kwenye gari ili kujua watu waliopo ndani?
  9. P

    Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    kuna wakati eti Morocco waliomba kujiunga na jumuiya ya Ulaya[emoji849]
  10. P

    Hatua sita za uumbaji

    2 Pet 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
  11. P

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    ninafuatilia huu uzi kwa makini sana.sijaona mahali Mshana Jr amepotosha,bali anajaribu kutufanya tu reason .tusijifunze vitu kwa kukariri au kukaririshwa. isitoshe biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyokuwa vimeandikwa asili ya lugha kiebrania, Aramaic ,kigiriki nk. ktk kutafsi huenda...
  12. P

    Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

    tutambue kuwa siyo kila kitu wazungu wamefanya exposed.vingi wameficha na hata kama wewe umesoma sana ni professor huwezi kuelewa. mambo mengi ni siri sana wengi tunajua in basic only.siri nyingi ( codes) zimefichwa
  13. P

    Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

    nimeipenda hii,ukipata muda tembelea pia sehemu inaitwa ndivamhundu ipo huko upareni ,ni eneo ambalo lina history ya pekee sana na huwa kuna miujiza mingi sana kwenye hilo eneo.
  14. P

    UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    hili siyo kwa kanisa Katoliki peke yake,hata misikitini ,mashuleni ,na kwenye familia zetu hizi tabia zinakuwa kwa kasi ya ajabu. ni lazima Kama Watanzania bila kujali dini zetu na tofauti zetu kila mmoja aombe kwa Imani yake na kukemea hili jambo ambalo linakwenda kuliangamiza taifa letu
  15. P

    UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    Enzi za askofu Amani aliwasafisha wote wenye tabia kama hizo naona wamerudi kwa kasi ya tozo
  16. P

    Wale wote niliokuwa nawadharau kwa kunywa beer za lite, mnisamehe

    ukizidisha mazoezi unazeeka haraka zaidi
Back
Top Bottom