Search results

  1. B

    MSIGWA: Tanzania tunafanya vibaya kwa kukosa WANADIPLOMASIA wenye uwezo

    Ukweli kabisa toka moyoni na mungu ana kuona wapinzani hawa shauli serikali?
  2. B

    IRAQ: 27 Wauawa kwa bomu wakila aiskrimu

    Hawa jamaa hawa!! ila watakwambia marekani wanahusika
  3. B

    Rais Magufuli; Dhahabu ni nzito kuliko damu? PART 1

    Ccm uwasikilize ukawa? Nyie tusubilini tuu miujiza ilihili taifa lionekane halina laana. Vingne nikujiburudisha tuu ili siku ziende hakuna la maana hapo.
  4. B

    Hii ni Akili kweli CCM?

    Sijui nani katuloga kuna maswala mengine haya hitaji elimu ya juu kuona uozo. Lakini kwa mtanzania ilisha shindikana kabisa kujua anaetia shida ktk taifahili. Ivi hakunaga sehemu ya ku Google unajua taifa lawatu ambao hawajitambui mwombeni msaada jamani.
  5. B

    Rais Magufuli ripoti ya kamati za madini usikabidhi menejimenti ya ACACIA, kawakabidhi wanahisa

    Thubutu kumbe mnaona simple simple tuu eti? Hapo lazima nao watahitaji huo mchanga waupime wahakikishe nani yupo sahihi kwakutumia nao watalaamu wao. Yoteyayote tuombe lipoti alyo pewa mkuu iwe naukweli
  6. B

    Rais Magufuli ripoti ya kamati za madini usikabidhi menejimenti ya ACACIA, kawakabidhi wanahisa

    Kwa akili yako unazani wakipewatu tayari wana amini nikweli?ndugu hakunaga ripoti iliyo na utata ifanyiwe maamuzi ya upande mmoja. Watu watahitaji kujilizisha hakunaga kesi inasikilizwa upande mmoja.
  7. B

    Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Jana nilikuwa na mzmbabwe aliniambia maneno ambayo binafsi yalinitisha sana. Aliniambia kule kwao baada ya kufukuzwa wawekezaji na mgabe watu waliflahia sana wakajua mambo yatakuwa swali. Lakini jamaa alisema walijikuta mpa dhahabu za wachimbaji wadogowadog i mean dhahabu ya zimbabwe in general...
  8. B

    Kesi ya ACACIA

    Mi huwa ni mvivu sana kuandika ninge andika kuuelezea huu mgodi ulivyo undergroud wa tanzania wangeona maajabu.
  9. B

    Kesi ya ACACIA

    Haiwezekani serikali ya tanzania ku mine huo mgodi hasa wa bulyanhulu.never ever foreve fuateni hizo ndoto
  10. B

    Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Afu mimi nawashangaa wa tz ivi kwa akili yenu mnafikiri madini ni yenu? Tumieni akili haya madini yangekuwa yetu siwange tuhusisha kwenye mikataba, mimi siwezi kuingilia ugomvi nisio ujua. Wakati walio chukua chao wametulia
  11. B

    Wataalam wa picha

    [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
  12. B

    Prof. Shivji anena mazito sakata la mchanga wa madini

    Mta achalini kukurupuka wapi nimetukana?
  13. B

    Prof. Shivji anena mazito sakata la mchanga wa madini

    Una uhakika nimetukana au ndiyo ukurupukaji wenyeww
  14. B

    Tanzania daima waanza tena kuhujumu Vita ya wizi wa madini.

    Kwa staili hii kazi ipo eti chadema chama cha kifisadi.sjui wengine hamnaga ata aibu
  15. B

    Tanzania daima waanza tena kuhujumu Vita ya wizi wa madini.

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]
  16. B

    Tanzania daima waanza tena kuhujumu Vita ya wizi wa madini.

    Hili ndiyo tatizo linalozidi kutu tafuna wa tz yaani hamjui kuhoji.yaani ni ndiyoo
  17. B

    Tanzania daima waanza tena kuhujumu Vita ya wizi wa madini.

    Ulisoma lakini kilicho andikwa ndani maana magazeti huwa yana kasumba yauandishi fulani wa kuvutia wateja.ukifungua kurasa kumbe wamenukuu kipande cha maneno fulani
Back
Top Bottom