Kitanzi ni njia salama hasa kwavile haina hormones (vichocheo), hivo hutakua na haja ya kuhofu kuhusu kunenepa... vinakaa mpaka 12 years lakini ndani ya hiyo miaka unaweza kutoa wakati wowote na ukashika ujauzito bila haja ya kusubiria kama ilivo kwa njia zenye vichocheo ambapo kuna wengine...
little angel, unaweza kutumia kumuona dentist but at the same time kuna limitation kwenye sijui mambo ya kusafisha meno kuwa meupe and the rest... kama ungepata policy ingekusaidia zaidi.. ila kama mambo ya kawaida kung'oa na kuziba am sure unaweza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.