Search results

  1. AUSI

    Wakulima ni maskini, dalali ni tajiri wa kutupwa

    No one can beat Intelligence
  2. AUSI

    Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1

    Mkuu tunajaribu kusaidiana. waswahil wanasema ukiona elimu ni gharama jaribu uj....a
  3. AUSI

    Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1

    kwa ofisi ya morogoro kuna makazi/nyumba ipo maeneo ya oil com kabla hujafika kituo cha msamvu kwa ofisi ya dar malazi na makazi unajitegemea
  4. AUSI

    Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1

    NEW ESTABLISHED NGO IN TANZANIA ASSISTANT ACCOUNTANT- HEAD OFFICE:DAR - ADV -DIPL IN ACC/BCOM ACC - TALLY ACCOUNTING PACKAGE. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION -EXPERIENCE ITS NOT MUST -SALARY 350000/=. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV PROGRAMME OFFICER-...
  5. AUSI

    Jamani nafasi za jeshi lini

    sikilizia tarehe 15 jan .
  6. AUSI

    PART TIME JOB - ACCOUNTANT Kwa msichana aliyeko Arusha

    mmmh! 2nasubiri majibu yako binti wa mkonyi
  7. AUSI

    Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    bora wakae pembeni kwanza wabaguzi sana. ukitaka kujua hili waulize (watu wa bara) waliojaribu kuposa upembani kilichowakuta! thy consider thm-self perfect thn othrs
  8. AUSI

    Scholarships for tanzanians.

    aiseeee mm bado nahisi ww ni tapeli! Nipe muda nafataria nyayo zako
  9. AUSI

    Vp udom washaita watu interview?

    inawezekana jamaaa yuko sahihi! kwa sababu nakumbuka kuna watu wameshaenda kufanya interview! mmojawapo ni jamaa yangu wa karibu! labda kwa kuwa nafasi zilitangazwa nyingi wanaweza kuita tena!
  10. AUSI

    Habari Mbaya kwa wanaotafuta kazi- Hakuna ajira mpya mwaka huu ila kwa Walimu na Madaktari

    dossa! dossa! dossa! Mmhhh! bila shaka wewe umesoma arts, maelezo unayojaribu kutoa kwa mchumi ungepata zero! matumizi ya serilkali yanapoongezeka ndo ajira zinapatikana, pesa inanyokaa bank mtanzania wa hali ya chini hawezi kuwa na fainda nayo! selikali ikitumia pesa {increase...
  11. AUSI

    Kazi bwana

    Senior Accountant (DSM) Category: Accountancy, Finance & Insurance Location: Dar es Salaam, Tanzania Employment Type: Full-Time Summary: People Power Description: Requirements: The ideal candidate must: * Be a Diploma holder in Accounts *Have...
  12. AUSI

    Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

    Ukioa mwanamke wa kihaya ujiandae kupata mafanikio tu! Kwanza wana adabu, wanajua kutafuta pesa , ni wavumilivu na mengine mengi mazuri ! Kila kabila halikosi malimbukeni mfano: Warangi sifa zao zinajulikana ..... Wamachame zao tunazihifadhi... Wanyakyusa ndo usiseme..... Nani msafi kuliko...
Back
Top Bottom