Search results

  1. A man with no name

    Soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi Mjini

    Habarini za muda huu Wanajamvi poleni na mihangaiko ya wiki nzima nimekuja hapa kutafuta soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi na hata njee ya Moshi kwa sasa kuku Wana week 4 na siku 5 hivyo nipotayari kuanza kuwavuna kwa ajili ya kitoweo naomba kwa yeyote yule mwenye uhitaji na bidhaa hiyo...
  2. A man with no name

    Nahitaji kioo cha Samsung A90

    Habarini wanaJF kama kichwa cha habari kinavyojieleza Naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kunifanikishia kupata kioo kwa ajili ya Samsung A90 cha kwangu kimepasuka sasa naitaji kukibadilisha mwenye nacho naomba aje inbox
  3. A man with no name

    Jinsi gani ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku na nguruwe?

    Habarini za jioni wanandugu, Nimekuja kwenu kuomba kufahamishwa au kuelimishwa namna ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku, chakula hicho kikiwa na virutubisho vyote pamoja na madini yote. Naombeni muongozo wenu katika hili Asanteni
  4. A man with no name

    Uhamisho wa kituo cha kazi

    Habarini wanabodi nimekuja kwenu kutaka kufahamu kama kunauwezekano wa mimi kuomba kubadikisha uhamisho ambao nimeomba lakini bado sijajibiwa Awali niliomba kuhamishwa njee ya mkoa niliopo, na hii nikutokana na changamoto za kifamilia Kwa sasa natamani nibaki kwenye mkoa huu niliopo lakini...
  5. A man with no name

    Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa google account kwenye simu

    Habarini wanandugu kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa namna bora yakuondoa google account kwenye simu ikiwa nimesahau password za hiyo email Naamini nitapata msaada katika hili
  6. A man with no name

    Leseni ya Udereva ya Luka Martin Tumbuka na kadi za ATM vimeokotwa

    Kwa anayefahamiana na huyu muhusika awasiliane na mimi
  7. A man with no name

    Kozi ya data entry

    Habarini za wakati huu wananzingo Nimekuja kwenu kwa lengo la kutaka kupata uzoefu na kuongeza ujuzi zaidi katika kozi nikiyoitaja. Ombi langu kwenu ni kama yupo mtu anaeweza kunisaidia katika kupata maarifa hayo kwa maeneo ya Moshi naomba anitumie ujumbe PM Asanteni natanguliza shukrani zangu...
  8. A man with no name

    Uhitaji wa pumba ya mahindi

    Habari za muda huu wananzengo nakuja kwenu muda huu nikiwa na uhitaji wa pumba ya mahindi Sifa za pumba 1= iwe imekauka yaani iwe kavu kabisa 2= iwe na chakula cha kutosha 3= iwe nyeupe isiwe brown au njano Na kilo nitanunua kwa shilingi 200 na ofa yangu haitazidi 240 Kama kuna mwenye...
  9. A man with no name

    Ushauri wa wazo la Biashara

    Habarini wanjukwaa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale Mchana wa leo nonakuja kwenu kutaka kupata msaada wa mawazo hasa katika biashara ambayo mtu anaweza fanya na ikamsaidia kujikimu katika mahitaji yake Kwanza kabisa nina kuku kama 200 ivi lakini nilipata changamoto ya magonjwa na...
  10. A man with no name

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Habari za muda huu wanajukwaa, Naomba kama kuna mtu anayo pumba ya mahindi au anafahamu wapi inapatikana kwa wingi naomba anifahamishe Naitaji Pumba ya mahindi yenye sifa hizi [emoji666]Nyeupe isiwe imevunda [emoji666]iwe imekauka kabisa isiwe na unyevu unyevu [emoji666]iwe na chakula cha...
  11. A man with no name

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naitaji pumba ya mahindi Sif za pumba [emoji666]iwe pumba kavu [emoji666]iwe na chakula [emoji666]iwe nyeupe Isiwe brown kama una pumba ya aina hiyo karibu kwa mjadala na weka na bei yako kwa kilo unauzaje na unapopatikana Karibuni kwa mjadala
  12. A man with no name

    Vifungashio vya nyama ya kuku

    Habari wanajamvi naitaji kwa mwenye vifungashio vya huhifazia nyama ya kuku Aniambie anauzaje kifungashio kimoja na label pamoja na design atanifanyia kwa shilingi ngapi Mimi nipo Moshi naomba kama kuna anaeweza anifahamishe Asanteni na karibuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A man with no name

    Inawezekana mtu mwenye maambukizi ya ukimwi akaishi au kufanya tendo la ndoa na mtu asiye na ukimwi bila kupata

    Naombeni elimu juu ya hili jambo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A man with no name

    Natafuta soko la kuku wa nyama

    Habari zenu wanajamvi nina kuku wa nyama wapatao 200 ambao Mungu akipenda kuanzia tarehe 17/12/2018 nitaanza kuwatoa Hivyo naomba kama mtu ana uitaji na kuku hawa aje ani PM ili aweke oda mapema Bei ni shilingi 7500 kwa kuku mmoja Pia kuanzia mwakani nitakuwa nauza mayai ya kuku wa kienyeji...
  15. A man with no name

    Jinsi ya kufanya fund-raising kupitia mtandao

    Wadau naomba kwa anaefahamu jinsi ya kufanya fund-raising kupitia mitandao Naomba sana msaada kwa anaefahamu
  16. A man with no name

    Naomba kwa mwenye samples za research katika kada ya elimu anisaidie

    Wanajamvi habarini za muda huu Naomba kwa mwenye samples za research katika kada ya education anisaidie kuweka hapa sample hizo Natumaini wadau mtanisadia na kunishauri katika hilo Natanguliza shukrani zangu Asanteni
  17. A man with no name

    Naomba kufahamu ni vibali gani vitaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu

    Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
  18. A man with no name

    Habari zenu wanajamvi leo nimekuja kwenu kwa lengo kufahamu aina ya vibali ili niweze kufanya biashara ya kusafirisha uduvi

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba kufahamishwa ni aina gani ya vibali vinaitajika ili niweze kusafirisha uduvi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine bila kupata usumbufu wowote ule barabarani Naombeni sana mawazo na msaada wenu katika hili wanajamvi Naisubiria michango yenu Asanteni
  19. A man with no name

    Naitaji mbegu za Mabiga n

    Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza naitaji kununua mbegu za maboga kwa mwenye nazo naomba anifahamishe anauzaje kwa kilo na anapatikana wapi Asanteni nawasilisha
  20. A man with no name

    Nahitaji kuku wa miezi miwili kwa ajili ya kufuga na biashara

    Naitaji kuanza kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya biashara Lengo la kuanzisha uzi huu ni ili nipate elimu kwenu wanandugu ya aina gani ya kuku watakuwa na tija kwa kufuga ambao watataga sana na hawata sumbuliwa na magonjwa mara kwa mara na ambao watakuwa na maumbo makubwa Ivyo wanajamvi...
Back
Top Bottom