Search results

  1. P

    Natafuta simu used!

    N96 bado ipo?
  2. P

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    NIMEIPENDA HII. Hawana jipya hao CUF
  3. P

    Wife kanibadilikia, msaada pls

    Ni kweli wengi tuna kero kibao za wake zetu. Wengine hadi kupata unyumba ni tatizo. Hawa wanawake ni noma! Hapo bado wanadai haki sawa kwa wote.
  4. P

    Natafuta simu ya nokia n95

    Natafuta simu ya nokia N95 toleo la 2009 au zaidi. Kwa anaejua aliyonayo au kama unayo tuwasiliane kupitia email; paulakwilini@gmail.com au paulakwilini@facebook.com.
  5. P

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    nchi mbona ilishauzwa siku nyingi? Kwa mkataba unaodaiwa kuwa wa miaka mia. Miaka mia moja nani atakuwepo. Na kama atakuwepo m2 wa sasa macho yatakuwa hayaoni. Pia hayo makaratasi waliyosaini yatakuwa yamesha chakaa na kuwa kama unga.
Back
Top Bottom