Mkuu, "makamanda" hawataki kusikia hili, wao wanataka wasisikie mtu akimkumbusha chochote mgombea wetu kuhusu chochote kwakuwa nadhani anayo hati miliki ya kutushikia akili na kuongea utumbo kwa niaba yetu. Na sasa goli linahamishwa au wanakanusha kilichoongewa mjengoni. Sitashangaa pia kusikia...
Bahati nzuri Mheshimiwa sana Halima Mdee ametaja hadi mwaka. Sasa naona watu wanatoa povu kwa kufuata mkumbo bila kusikiliza hata video clip yenyewe. Sijui tatizo ni bundle la kuicheza video hiyo, au sijui ni nini. Maana naona sisi tuliokuwa nje ya Bunge sasa tumeanza kukanusha hata ushahidi wa...
Mkuu, siwezi kuweka maneno mdomoni kwa mtu. Kwenye video clip hiyo mgombea hakuitaja Chato. Sasa kama umeamua kumuwekea maneo hayo kupitia clip yake mwenyewe, basi ni wewe. Ila mimi nimeamua kuchanganya na zangu na jibu lake nabaki nalo mwenyewe kwakuwa sio lazima jibu langu lifanane na lako Mkuu.
Mkuu. Fungua video clip hiyo na umsikilize kwa makini Mheshimiwa Halima Mdee maana ametaja hadi mwaka uliopita wakati akichangia hoja hiyo ya ununuzi wa ndege. Jibu liko wazi humo.
Mkuu, hoja imeletwa sasa na mgombea akiwa kwenye kampeni za kuwania urais. Wakati bunge likiendelea hakukuwa na kampeni wala mgombea urais. Nadhani tukae sawa kwanza hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.