Search results

  1. L

    Swali kwa wanaume wafupi...

    mapenzi saanyingine ni kama maigizo hayana formula . kuwa na mbwembwe au pozi za ajabuajabu ktk mahusiano hakutabiriki. haijalishi mtu awe mfupi au mrefu ni hulka ya mtu mwenyewe, jambo la msingi ni kuomba Mungu upate ubavu wako! wawezakuwa unang'ang'ana na ubavu wa mwenzako mwishowe ukaambulia...
  2. L

    Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

    Duh jamani kumbe tuache kuigaiga mamboz ya kulambaaaaaaaaaaa. japokuwa kuna raha pale ila side effect ni kubwa sana jamani. hebu tujuze dalili za hako kadisease tukae mkao wa kuelewa kwa kina. maana mmh majangaaaa haya!
  3. L

    Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    hahaaaaaaaaaaaaaaa 4 years. kama ni mtoto keshaenda nursery. duh ama kweli ni mvumilivu kama hajagegeda. maana wanaume type hizo huenda wapo sayari yajupiter. teh teh teh
  4. L

    Kwa wachache wenye tabia ntakayoitaja tubadilike ili tuyapate mema siku za usoni

    yeah. umeonaeeeeeeeeeeeeee. walau cku mojamoja tukumbushane kutenda mema ndugu
  5. L

    Kwa wachache wenye tabia ntakayoitaja tubadilike ili tuyapate mema siku za usoni

    JAMANI KILA MTU ANAHITAJI KUWA NA FUTURE NZURI IKIWEMO NDOA ILIYOSITARIKA KATIKA MALEZI BORA. FURAHA AMANI NA UPENDO. BAADHI YETU TUNAMSHIRIKISHA MUNGU ATUPATIE WENZA TULIOFANANA NAO ILI TUJENGE FAMILIA TAKATIFU. KAMA WEWE NI BINTI DADO, UNATAMANI SIKU MOJA KUWA NA MUME ALIYETULIA WAKATI SASA...
  6. L

    Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

    kuna tetesi kwamba kuanzia mwaka huu wa masomo ada za MA pale UDSM zitapanda mara mbili. c mchezo maisha yanapanda knyamaaaaaaaaaaaaaaaaa. ada ya MA ya Education itakuwa sh, Milion 6.
  7. L

    Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

    kuna tetesi kwamba kuanzia mwaka huu wa masomo ada za MA pale UDSM zitapanda mara mbili. c mchezo maisha yanapanda knyamaaaaaaaaaaaaaaaaa. ada ya MA ya Education itakuwa sh, Milion 6.
  8. L

    Honey i miss my days

    hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  9. L

    TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    ahsante sana. ubarikiwe kwa taarifa iliyosheheni maelezo ya kina. tunaungana kuwaelewesha ndugu na marafiki.GOD EXCEED YOUR WISDOM
  10. L

    Meseji za uzushi kwenye simu.

    inabore sana eti. unaweza kuzima simu ukakosa deal za maana. i hate that so much. tatizo ni kuwaaminisha watu ishu zizizokuwa na ev idence
  11. L

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    naomba msaada wa kuondoa madoa uson pls! mana napata tabu kwa hili. plz mchango wenu ndg. mkojo unapaka mda wa dk ngp ?
  12. L

    Hii issue mnaionaje wanajf wenzangu?

    kaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz kwel2. mitaa hyo haifai
  13. L

    Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

    haha kidhungumkuti.
  14. L

    ABCs OF LOVE: DEDICATED TO MMU

    nice . i like it
  15. L

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    i think that is a lucky gift . U HV TO FEEL PROUD AND NOT TO CONDEMN. JE UNGEPEWA SIZE YA KIDOLE GUMBA UNGEKIMBIWAJE? JAMBO LA MSINGI NI TECNIQUE.
  16. L

    Nafokewa na mchumba

    pole kwa kufokewa japokuwa hujawa specific. kama unampenda kaa nae mzungumze ajirekebashe. kwa kuwa tabia ya gubu binafsi huwa sipendi. angalia sana icje ukajuta maisha yako yote kwa kuchagua wrong number. gud day
  17. L

    Hivi kumbe wanawake mnatuchukulia hivi! Da...

    yap. nimeipenda hiyo. kwa mtazamo wangu, sio wanaume wote wakwel. kat ya percent 100 percent 10 ndiyo waaminifu. but frankly 90 percent ni wanafiki, waongo, na co waaminifu. tena wengne bila mshpa wa aibu wanakwambia washana mko weng. so inabd mwanaume mmoko awe na wanawake zaid ya wanne! jaman...
  18. L

    Inakuwaje wapendwa

    Utamchukuliaje mpenzi wako endapo utagundua kwamba anataku criticise kwa watu wake wa karibu kwamba da mshikaji wangu ni mlokole sana! Mi sipendi sana?
Back
Top Bottom