Search results

  1. wisdom empire

    Mwenye taarifa zozote kuhusiana na zile ajira zilizotangazwa na Shirika la Nyumbu zilifikia wapi naomba atuambie

    Mwenye taarifa zozote kuhusiana na zile ajira zilizotangazwa na shirika la nyumbu zilifikia wapi naomba atuambie kupita hapa. Binafsi ningependa kujua kama watu wameshaanza kuitwa kwenye interview au bado.Maaana sijasikia chochote hadi saizi.
  2. wisdom empire

    Kiini macho cha Ajira 52000

    Wakuu hebu tuwaze kwa pamoja. Serekali iliahidi ajira 52000 ktk mwaka huu lakini ivi kwa speed hii ya Secretariat ya ajira , yaani jinsi inavyotangaza ajira chache unakuta inatangaza kwa nafasi za taasisi kama tatu au zaidi kwenye tangazo moja na unakuta jumla ya positons hazifiki hata 20, na...
  3. wisdom empire

    Msaada wa softcopy za vitabu vya pastor Chris Oyakhilome

    Wakuu naombeni msaada kwa yeyote mwenye soft copy (PDF) ya vitabu/kitabu chochote kilichoandikwa na Pastor Chris Oyakhilome anisaidie kwa kutumia either Uzi huu au Pm. Pia kama kuna anayefahamu website ambayo nitaweza kudownload bure ( free download) bila usumbufu naomba anielekeze. Asanteni...
  4. wisdom empire

    Uwakala wa crdb( Fahari Huduma)

    Habari zenu ndugu zangu, Nimefikilia kujiajili kwa kufanya uwakala wa crdb lakini bado natafuta information muhimu zitakazo nisaidia ktk biashara yangu mpya maana bado sijawa na uzoefu.Naomba kwa yeyote aliye na idea juu ya biashara hii kama vile vigezo vinavyoitajika na bank, kiasi cha mtaji...
  5. wisdom empire

    Msaada: Jamaa yangu yupo katika wakati mgumu

    Habari zenu wapendwa.Naombeni msaada wa Mawazo ili namimi nimsaidie aliyepatwa na tatizo maana nimeshindwa namna ya kumsaudia.Jamaa ya yangu alipata mchumba na akaenda hadi kwa wazazi wa mwanamke kuchumbia na akatoa hadi salamu( 10000) kama ilivyo taratibu za baadhi ya makabila kabla ya...
  6. wisdom empire

    Interview PCCB

    Yeyote mwenye taarifa yoyote kuhusiana na usaili wa nafasi zilizotangazwa na pccb wiki kadhaa zilizopita naomba tujulishane maana binafsi sijasikia chochote hadi sasa baada ya muda wa kutuma maombi kupita.
Back
Top Bottom