Search results

  1. O

    Jipatie keki bomba, laini zilizochambuka

    Kaa unahitaji keki nzuri na tamu kwa ladha mpigie huyu au whatsapp 0769084570 aisee hutajuta.
  2. O

    msaada wa kioo cha toshiba mini laptop Portege R705.

    GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
  3. O

    Telex free imeingi mjini hivi hii ni scum au ni dili

    Ha ha ha ha hii telexfree inawanyima ucngzi sana na mtaugua mnooo bila kupona
  4. O

    Telex free imeingi mjini hivi hii ni scum au ni dili

    Na utadeki bahari mwaka huu wewe iMind
  5. O

    Telex free imeingi mjini hivi hii ni scum au ni dili

    Ongeeni pondeni but let me tell you Im the promoter of TELEXFREE and Im paid money for promoting and advertising company product (VOIP). sasa endeleeni kupiga makelele humu wenzenu tunatengeneza pesa najua roho zinawauma sana network marketing zingine za kimachinga ndo maana mnatuchafulia jina...
  6. O

    blackberry torch 9800

    nauza blackberry imetumia miezi kadhaa ipo katika hali nzuri 550,000
  7. O

    hostel maeneo ya upanga

    Ok ahsanteni kwa muongozo kesho ntaingia kitaa kurekebisha mambo
  8. O

    hostel maeneo ya upanga

    Ni karibu na wapi hapo gama tafadhali nipe maelekezi mazuri kuna ndugu yangu anataka kusoma sasa sehemu ya kuishi ndo mtihani
  9. O

    hostel maeneo ya upanga

    Naomba msaada kama naweza kupata hostel maeneo ya upanga na gharama zake.
  10. O

    Selection ya masters mzumbe

    Wadau selection ya masters mzumbe- dar campus vp? Inatoka lini?
  11. O

    Biashara ya magari

    wadau hivi hii biashara ya kuleta magari kutoka japan au dubai inalipa? Process zake zikoje?
  12. O

    Msaada: mobile software za kuhack facebook account.

    Jamani gaweni hayo maujanja mbona mwatubania comrade!
  13. O

    Hawa NeemaHerbalist dawa zao zinatibu kweli?

    mie mwenyewe nataka nikachukue ile ya kutoa kitambi kwa siku 14 ila sina uhakika na ubora wake na kama kweli inasaidia labda jaribu kufika ofic zao unaweza kupata ufumbuzi.
  14. O

    Kanumba kawekwa kwenye Wikipedia

    Ni kweli amekufa au wafanya mzaha?
  15. O

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Naona kapigwa chini nafasi yake imechukuliwa
  16. O

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Yes tiGO inaongozwa na na wahindi country director mr Jeet ni muhindi na wanaofuata
  17. O

    kutambua mimba imeingia au lah!

    Thanx a lot mkubwa kwa knowledge
  18. O

    kutambua mimba imeingia au lah!

    wakuu hapa kuna kaubishani kidogo naombeni mnijuze hili. urinary pregnant test(u.p.t) hiki kipimo kina uwezo wa ku detect mimba ya week ngapi?
  19. O

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    binafsi nimeshuhudia wadada wawili wame2mia vidonge na wamezaa mapacha ila sikufanikiwa kuwauliza dawa zinaitwaje cz sina mpango wa mtoto kwa sasa. Kuhusu madhara sijui maana watoto hawana zaidi ya miaka mi3 but they are healthier so sijui tena.
Back
Top Bottom