Search results

  1. Jiwejeusi

    Nape: Hatuisaidii ACT Wazalendo!

    ni kweli ccm haiisaidii act lakini wanaccm wanaisaidia ccm kwa fedha na ushabiki. wanaccm watakiua chama chao kwa kukitetea chama kingine. fisadi mamvii, fisadi rostam na fisadi kalamagi ndio wafadhili wa muslim brotherhood.
  2. Jiwejeusi

    Karata za Zitto zimebuma!

    lazima uzi huu uondolewe. jf imeshawekwa mifukoni mwa jf. siku hizi hawako kwa ajili ya umma bali wapo kwa ajili ya uma. vitambi vitawaua.
  3. Jiwejeusi

    Karata za Zitto zimebuma!

    ya udini haijabuma,hadi sasa ndio inayombeba lakini kwa wanachama wa ccm.
  4. Jiwejeusi

    Ripoti mpya ya mauaji ya halaiki ya tembo Tanzania

    acha kuleta siasa hadi kwenye tembo. ------ wewe. mamtu mengine maku kweli.
  5. Jiwejeusi

    Balozi wa Uingereza, ACT-Wazalendo na Zitto tunaomba ufafanuzi wa tuhuma hizi

    inaonekana ni muelewa, nikuhimize uende mahakamani kulishtaki gazeti kwa kutoa habari za uongo.
  6. Jiwejeusi

    CHADEMA ilifanikiwa kuisambaratisha CUF 2010!

    ni kwa namna gani chadema waliibomoa cuf? majimbo mangapi ya cuf yalipokwa na chadema? nimejisahau, wewe mwenzangu ulipwa kwa kushinda mtandaoni na kupost ujinga.
  7. Jiwejeusi

    CHADEMA ilifanikiwa kuisambaratisha CUF 2010!

    post za kizuzu. eti kuisambaratisha cuf? chadema iliisambaratisha ccm. hakuna jimbo hata moja la cuf lilipokwa na chadema, chadema walichukua majimbo yaliyokuwa yanamilikiwa na ccm. huu upumbavu wako jitahidi kuuficha. kama una data, niambie majimbo mangapi ya cuf yalichukuliwa na chadema?
  8. Jiwejeusi

    Kwa kasi hii, Zitto Kabwe kwa sasa ni power broker katika chaguzi kuu

    unapoteza nguvu nyingi kumjibu mtu ambaye analipwa kwa upumbavu wake. achana nao ndio mpango wao.
  9. Jiwejeusi

    CHADEMA Yapukutika: Mbunifu wa Operesheni za M4C na Sangara Atimkia ACT - Wazalendo!

    potezeeni ujinga huu. anataka views na coments 100 akalipwe. tumefunga mjadala kuhusu shina lenu act.
  10. Jiwejeusi

    Nani kama Afande Sele? Watimue Moro, watimue Bongo!

    kuna watu wana phd humu lakini ni wapiga debe wa afande sele. ni upumbavu kumjadili mjinga. jf is now becoming the home of great foolers
  11. Jiwejeusi

    Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    alifukuzwa kwa tuhuma ambazo hataziacha. usaliti usaliti. once a traitor, always a traitor. nyambafa zake
  12. Jiwejeusi

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    safi sana. kweli wewe ni mfano wa mungu sio majitu mengine humu ambayo yanataka kulibadili jina la jamvi liwe "the home of great foolers"
  13. Jiwejeusi

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    wewe ndiye wa hovyo lakini hoja ni safi. Ndio maana kuna watu humuuliza mungu, na huyu nae ulimuumba?
  14. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    unganisha dots mkuu. kuna mtua aliapa kushughulika na mzee mengi. kazi imeanza.
  15. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    hakuna ushabiki hapa. watu waliapa kumshughulikia mzee mengi. kazi ndio imeanza. wataelewa tu wale wenye akili za kuunganisha dots, lakini sitegemei mazuzu waelewe.
  16. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    mods kaoa dada yako nini? mbona unamwamlisha kama wewe ni mmiliki wa jf. jadili kilichopo. kama wewe ni zuzu wa kushindwa kuunganisha dots potezea.
  17. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    jindanganye ndugu yangu. ukienda kuomba ulinzi wa pesa, hao hao polisi wanawataarifu majambazi na wakija wanazembea mzigo unakwenda.
  18. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    Ahsante msalani. Najua unabeza bandiko langu kwa kuwa wewe kwa sasa upo upande wa kuwashughulikia. Mambo yanaanzaga kidogo kidogo.
  19. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    we sema hivyo tu. mwanzo wa kushughulikiwa ndio unaanzaga hivyo.
  20. Jiwejeusi

    Majambazi wavamia gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na kupora pesa

    Kazi imeanza jana. Wafanyakazi wake watatu wa kiwanda cha bonite wameuawa kwa risasi. Pesa walizokuwa wanapeleka benki zimeibiwa. Ndio kushughulikiwa kwenyewe. Usishangae kesho ukasikia kiwanda kimeungua kwa moto. Halafu mods msiunganishe huu uzi aisee. Sitaki matani. Siku zote mimi huchangia...
Back
Top Bottom