Search results

  1. M

    LOWASA avamia tena eneo la shirika la reli karibu na NMC

    Kama ijulikanavyo kua Lowassa anamiliki kiwanda cha usagishaji cha Arusha visivyo halali.Serikali inalijua hili na inalifumbia macho,mbunge na madiwani wote wanalijua hili lakini hakuna anaechukua hatua zozote .Leo Lowassa amevamia eneo la shirika la reli na kulifanya sehemu ya kuoshea magari.je...
  2. M

    aibu katika uzinduzi wa usafi wa jiji la Arusha.

    kitu cha kwanza ni je ... huo usafi unaozungumziwa utafanyika katika utaratibu upi?? nasema hivyo kwakua huwezi sisitiza kua usafi ufanyike alafu vitendea kazi hakuna. hawana magari ya kuzolea taka,yaliopo ni mabovu na hayazidi matatu. tenda ilitangazwa ikawekwa kwenye notice bord ya...
  3. M

    mkusanya mapato wa manispaa ya Arusha afanya utapeli kwenye maduka yanayomilikiwa na manispaa

    Huyu jamaa anitwa Shabani .kulikua na opareshen ya kuhakiki wamiliki wa hayo maduka kwani mkataba wa kupangishiana unasema huruhusiwi kukodisha au kupangisha . Lakini maduka karibia asilimia tisini na tano yamepangishwa ambapo nikinyume na makubaliano ya upangishaji. Halmashauri ya jiji...
  4. M

    Mzungu achinjwa kinyama na chokoraa anaemfadhili

    Hili tukio limetokea wiki mbili zilizopita mkoani Arusha,.....kijana mmoja chokoraa,kama watu wengi walivyozoea kuwaita alikua anapewa matunzo yote na huyo mzungu.hata mzungu pindi yupo ulay alikua akimtumia hela na vitu vingine vingi tu.siku ya siku imewadia,mzungu kampigia jamaa simu kua...
  5. M

    Madiwani: Nanyaro, Issaya na Issa kuweni makini tafadhali

    Hawa madiwani niliowataja wote wapo kwenye eneo ambapo shule ya kata ya Ngarenaro ndiko ilipo.Ni zaidi ya wiki ya pili sasa ukuta wa hiyo shule umeanguka na kuharibu mandhari ya hiyo shule, uzio wa hiyo shule umejengwa muda mfupi uliopita na wala hauna hata mwaka alakini umeanguka tayari. Sasa...
  6. M

    Umeshawahi kujiuliza mbona sikuhizi hakuna mizoga ya kuku,mbuzi,ngombe na kondoo??

    Nimeenda hotelini leo mchana kupata lunch mida ya saa saba nikaagiza wali kuku wa kienyeji,alakini baada ya kupiga vijiko niwili na kungata kinyango kimoja kwakweli ladha niliyokutana nayo haikua ya kawaida kabisa.ndipo likaja swali wazo kichwani kua huyu kuku anawalakini na jirani yangu pembeni...
  7. M

    Ujio wa JK Arusha barabara zinapigwa deki na maji ya sabuni

    Mara ya mwisho niliona kwenye ujio wa raisi wa marekani Bill Clinton,magari yapo bize yanamwaga maji kwenye barabara karibu zote zilizotengeneza,haya bwana mkubwa karibu katika uzinduzi wa jiji
  8. M

    Sony viao disply inauzwa

    Nauza disply ya sony viao,14.1" model yake ni PCG_7K1l . VGN-FJ270.ni pm kama unahitaji
  9. M

    TBC1 na mitambo ya kichina, kauli ya mzee Reginald Mengi

    Wakati inazinduliwa kwa mbwembwe nyingi nakumbuka waliwaalika wamiliki wa vituo vya habari vya binafsi alihojiwa mzee Reginald Mengi mmiliki wa kituo cha utangazaji cha ITV na Radio One. Katika mahojiano hayo kuna sehemu alisema, ni vigumu sana TBC kushindana na vituo vya watu binafsi na leo...
  10. M

    Diwani aliefukuzwa CHADEMA Arusha ahamia CUF,ni Bayo.

    Wengine tupo mbali na arusha jamani,tupeni ripoti nikweli kua bayo kahamia cuf?? Nasikia na yule mama ambae mwanae aliuawa na polisi pale nmc nae kachukua kadi,vipi hizi habari nizakweli tunaomba ufafanuzi,japo kwa bayo tulisha litimua halina mpango njaa inamsumbua tu.
  11. M

    Hebu tujadili hivi vijikaratasi vya polisi(RB)na kauli ya mwanasia machachari Christopher Mtikila.

    Kwanini wasiwe na official document,yenye kutambulika kisheria na kiserikali kuliko kutumia vijikaratasi visivyo na tija yoyote ile.Mtikila alikua na haki kabisa ya kuikataa ile karatasi kwani hata mahakamani au serikalini hakuna anaeweza kusimama na kusema kua hii ni mali ya...
  12. M

    Hydom hali ya usalama ni tete!mfanya biashara atekwa,katoa milioni 80 nawakaondokanae

    Mfanyabiashara wa mazao anaitwa HANDO na mkulima pia ametekwa na kuchukuliwa kiasi cha fedha milioni themanini, kwa habari zisizo rasmi kwani kwenye kupeana huko sisi hatukuwepo. Alishikiliwa kwa siku mbili na kati ya waliohusika alikuwepo msoma ramani mmoja ambae baada ya kubanwa walikuta...
  13. M

    Kwanini tanesco malipo yafanyike dirishani??

    leo nilikua tanesco nikajiliza inakuaje Tanesco sehemu ambayo kunamakusanyo mengi sana ya hela malipo yafanyike dirishani na sio bank??'nikua kwenye daladala kipindi cha power breakfast cha clouds wakiponda uongozi wa bandari malipo kufanyika dirishani badala ya bank.sasa sijui ni siasa au ni...
  14. M

    SHULE ZA st. MASOMO KAMA KAWAIDA,AKINA kayumba maandamano na mgomo.nini kifanyike mgomo ufanikiwe?

    Shule zote za st.wanafunzi na walimu wako kazini kama kawaida alakini za kinakayumba mambo sio shwari kabisa.nikweli na nidhahiri kua hakuna mbunge au kiongozi yeyote wa siasa hakuna mwanae alieguswa na huu mgomo ndio maana unaona hata bunge yaani kama vile issue yenyewe ndogo sana,nikwasababu...
  15. M

    Tulio ibiwa kwenye nguzo za umeme,serekali inatusaidiaje??

    Nguzo mbili nililipa milioni mbili na laki saba tena kijijini nikafungiwa umeme baada ya miezi sita.juzi waziri mpya katangaza bei halali ya nguzo,sasa swali langu ni je,serikali inalichukuliaje hilo suala au ndio tumeshadhulumiwa?kama serikali inadhulumu watu wake badala ya kuwalinda huo...
  16. M

    Simbachawene issue ya ulimboka imekuokoa

    Jahkaya alisema ni upepo tu utavuma na utapita na leo hilo linaelekea kudhihirika kwani media zote zimejikita kwenye issue ya mgomo wa madokta na tukio la majasusi ya serekali ya sisiemu kumvamia na kumdhuru jemedari doctor wa ukweli ULIMBOKA.alijitahidi sana siku za mwanzo kuizima kashfa...
  17. M

    Waziri wa nishati na madini,tuliouziwa nguzo za umeme na tanesco ni haki au tumeibiwa??

    Nina zaidi ya miezi sita toka nilipie nguzo mbili kwa zaidi ya milioni mbili na nusu na umeme bado haukufungwa wala nguzo kuwekwa.sasa swali langu ni je nimeibiwa au ni halali kulipia nguzo pindi uendapo kuomba umeme?niliwahi kusikia kwenye bunge lililopita,sikumbuki ni mbunge gani alisema watu...
  18. M

    Prof. Anna Tibaijuka waziri wa ardhi wa Dar es Salaam tu?

    alikuja kwa kasi ya ajabu tukajua tatizo la uvamizi wa hifadhi ya ardhi na maeneo ya wazi yaliotekwa au kuporwa yatarejeshwa na waporaji kuchukuliwa hatua za kisheria alakini wapi.mama kama uliletwa bongo kwa shughuli maalum ya kisiasa basi utakua umekosea sana kwani bongo yote imeoza na walio...
  19. M

    Rufaa ya lema lini?mwenye taarifa atujuze tafadhali

    tafadhali kwa anaejua itasikilizwa lini atujuze,na vipi kuhusu majaji wanaorudia hiyo kesi huwa wanapatikana vipi,yaani ni utaratibu gani huwa unatumika kuwateua?kwa harakaharaka ukiangalia hii kesi utaona ina husu jumba kuu moja kwa moja ndio maana nauliza huo mchakato wakuwapata majaji huwa...
  20. M

    Udhaliliswaji wa wanawake mpaka lini?tamwa wako wapi na dada zetu wanaojiuza?

    Ni udhalilishaji mkubwa wa wanawake na mama zetu kwa ujumla.nimesimama pembezoni mwa barabara masubiri daladala mara naona linapita landrover la polisi linawapeleka dada zetu mahakamani,kisa wanafanya biashara ya ukahaba.sasa ninachohoji ni inakuaje au sheria inasemaje kwanini hakuna wanaume...
Back
Top Bottom