Search results

  1. M

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    zitto hawa mafisadi wanajaribu kupoteza lengo. wewe pambana mpaka mpaka mwisho
  2. M

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    zitto hawa mafisadi wanajaribu kupoteza lengo. wewe pambana mpaka mpaka mwishoew
  3. M

    2015 uwe mwisho wa CCM kunusuru tembo wetu

    kuna aina ya ndege nasikia wameshatoweka. kule lake eyasi kuna ndege ambao hawapo sehemu yoyote duniani nasikia ni dilli kuliko hata tembo nao hawaonekani tena. e
  4. M

    Madiwani wa CCM kwenye Jimbo la Mizengo Pinda ni majangili

    hata lukuvi ni jangili..fuatilia bunge usikie. huko karatu mwenyekiti wa sisiemu alishakamatwa mara kibao na Chadema walisha toa ushahidi alakini hakuna hatua aliyochukuliwa. kinana live meli yake imekamatwa alakini kutokana na upofu wa masisiemu basi hilo sio tija. tembo wanaisha jamani...
  5. M

    Mwigamba hatahama CHADEMA kirahisi!

    akaungane na kina mwampamba na shoza..... hana vision ndio maana yaliowakuta wale madiwani na yanayoendelea kwa shibuda kwake sio simo. he iz very chip.we dnt need him anymore.
  6. M

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    unaupofu wa kukubaliana na ukweli na hali halisi. alakini ni kawaida ya baadhi yenu..... angalia zanzibar wanavyojitahidi kufuta historia kua Tito Okelo hawezi kuwepo katika historia ya zenji kisa ni mkristo....hii imani yenu inawagharimu sana, ndio maana nchi zote za dini yenu ni vita,mabomu...
  7. M

    Mafuta ya majaribio Tanzania

    kama una ndugu yako mwanajeshi mwambie akumegee siri. yanatoka yakumwaga alakinii kunajimeli lakizungu linapeleka sample kilasiku ulaya. huko hata waandishi wa habari hawaruhusiwi kufika...usafiri wa huko ni chopa,hata mitumbwi ya wavuvi hairuhusiwi shamba la bibi hili jombaaa....
  8. M

    LOWASA avamia tena eneo la shirika la reli karibu na NMC

    Kama ijulikanavyo kua Lowassa anamiliki kiwanda cha usagishaji cha Arusha visivyo halali.Serikali inalijua hili na inalifumbia macho,mbunge na madiwani wote wanalijua hili lakini hakuna anaechukua hatua zozote .Leo Lowassa amevamia eneo la shirika la reli na kulifanya sehemu ya kuoshea magari.je...
  9. M

    Jaji Shangali alimvua ubunge Kafumu kwa sababu ya kuwa na undugu na Mbowe?

    jiulize kwanini MBOWE alikulia ikulu?? jiulize mahusiano ya MBOWE na familia ya Mama NYERERE.
  10. M

    Ampiga Mchumba wake hadi kumuua

    ahahaaa......hili lijamaa linaonekana jeupe mno,unaweza kuta pia haelewi hata unaemzungumzia ni nani. ndio maana kwenye reseach yangu ndogo niliyoifanya nimekuja gundua kua watanzania wenye kujitambua kwenye watu mia sabini ni kanyaga twenda. ipo kazi mpaka tufike kwenye mageuzi ya kweli.kina...
  11. M

    Ampiga Mchumba wake hadi kumuua

    ....duh.! inasikitisha sana.mitungi pia itakua inachangia, hapo Karatu matukio ya kutoana roho naona imekua too much sasa, last time nakumbuka jamaa aligombana na mkewe akamuu then akaua na wanae watatu. R.I.P mchumba wa babu very.
  12. M

    Watu wengi wanaoipigania CHADEMA ni wale wavivu wasiopenda kufanya kazi-Malibwa(udsm)

    anatia aibu huyu mse.nge sijui anafundisha nini huko chuoni
  13. M

    Msafara wa jaji mkuu wasababisha ajali ya bodaboda arusha.

    huyu jamaa wanasema ni mshirikina sana,sasa naanza kuamini.
  14. M

    Kampala mayor Erias Lukwago 'beaten by Uganda police'

    R.I.P meya. nilidhani yule wa kichina pale chuga.
  15. M

    Tukumbuke maneno ya baba wa taifa 1995 "Siwezi kuiacha nchi yangu iongozwe na mbwa"

    i cant leave my country with a DOG. alikua anamaanisha hawezi achia nchi kwa watu kama jeikei na pinda. hakua anamaanisha Lyatonga au wapinzani. ona hawa watu kama hawastahili hivyo vyeo ,angalia Nepi,Chemba,yule sokwe wa Gombe,mzandiki lukuvi na timu yao yote. RIP mwalimu.
  16. M

    Lwakatare atapokelewa kama mfalme Bukoba mjini.

    kamanda piga kazi. hile single ya NEPI kila mtu anajua ni feki na haina soko madukani. 2015 lazima tuwapige chini hapo.
  17. M

    Pinda: CHADEMA wanatekeleza kauli yao ya nchi haita tawalika

    kuna mtu alituma post humu jamvini kua hili jizee lenye sura mbaya ni mchawi. kweli sasa kwa hii kauli hata mimi naamini kua huyu mzee ni MCHAWI. hile sura ilivyo ngumu !! hakuna mlokole wa staili hile;kuanzia sura mpaka kauli zake.
  18. M

    Mbunge wa CCM Nkasi atoa mpya tena bungeni Dodoma

    gesi ya kujamba ahahhaaaa..huyu babu ni comedian kweli...!
  19. M

    Polisi wamtaka Mbowe athibitishe Polisi walivyohusika katika mauwaji ya Arusha, la sivyo...

    shahidi wa kwanza ni mtoto aliepigwa risasi. shahidi wapili ni Mbowe na Lema mashahidi wengine ni sisi tuliokua kwenye mkutano. polisi leo walivyokua wakipiga mabomu utadhani walikua wanagana na waasi wa boko haram,hayatumii akili kabisa haya majitu.kweli kama kuna kazi yenye laana na...
  20. M

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    majitu mengine lazima ni wake za za watu japo wanajinsia ya kiume kama huyu muanzisha mada
Back
Top Bottom