Search results

  1. Sakhalala

    Watu wa Chalinze kwa machungwa mliyoniuzia Mungu anawaona

    Wanajamvi, nilichofanyiwa na mtu mmoja wa Chalinze ambaye ni mwizi ndio hiki hapa kwenye picha. Kwa kweli sintonunua chochote Chalinze tena. Huu ni ujambazi na kama watu wa Chalinze mko humu mkanyane ili misfire kupoteza soko la mazao yenu kwa sababu ya huyu jambazi.
  2. Sakhalala

    Wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii kiama chaja

    Baada ya furaha au maudhi ya ujio wa katiba mpya inayopendekezwa na CCM sasa tujiandae wafanyakazi na janga kubwa zaidi ya dhuluma inayokwenda kupitishwa na bunge la JMT lijalo huenda kupitia mswaada mpya wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Inasemakana baada ya Serikali kuifilisi mifuko hii na...
Back
Top Bottom