Search results

  1. kali popote

    Degree yangu leo nakata USHURU moja ya masoko jiji huku kaskazini mwa tz

    Wangwaana wote niwasalimu Mimi ni msomi ngazi shahada ya ugavi,niliohitimu moja ya chuo hapa tz miaka mitatu iliyopita,kinachoniumiza nimeshindwa kuitendea haki taaluma yangu hadi sasa nimeamua kujiingiza kwenye ajira ya mkataba ni mwaka wa tatu sasa napambana na ushuru wa masokoni kwenye...
  2. kali popote

    DIWANI wa CHADEMA ARUSHA ahamia CCM

    Diwani wa CHADEMA Kata ya Ngarenaro jiji la Arusha, Isaya Doita leo rasmi tarehe 12/03/2020 amejiunga rasmi chama Cha mapinduzi, ni dhahiri madiwani wetu wa CHADEMA jiji la Arusha wanaisha sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kali popote

    Namalizia degree yangu ya ugavi nataka nikasomee udereva wa VIP

    Habari za kazi wandugu Natarajia kumaliza degree yangu hivi karibuni mwaka huu, sasa kutokana na uhaba wa ajira na ukizingatia umri umeshaenda nataka walau nijifunze na udereva kwa ngazi ya VIP ili niwe na wigo mpana zaidi kwenye mihangaiko ya maisha ili nikimbizane na huu umri. Wadau wa mambo...
  4. kali popote

    Amesema hanipendi na tuachane ila bado anafunga safari na kwenda kwa wazazi wangu

    Wandugu kuna binti wa kichagga alimuacha mzazi mwenzake aliezaa nae kisa mimi na kumwacha kwa matusi na kejeli za kupindukia akaja kwangu akidai ananipenda sana. Na kusema kuwa mimi amejiridhisha kuwa ndio chaguo lake hivyo anataka tuwe wachumba baadae tuoane, nilikubali kwa tamaa tu kisa binti...
  5. kali popote

    Maana ya Neno MFAWIDHI

    Poleni na mihangaiko ya kutwa wana JF, Naombeni mnisaidie maana ya neno mfawidhi. Huwa lina maana gani maana huwa nakutana nalo sana hospitalini chumba kimeandikwa mganga mfawidhi pia mahakamani hakimu mfawidhi Nawasilisha
  6. kali popote

    Wazoefu wa chuo msaada wenu tafadhali

    Habari za shughuli wandugu naomba kueleweshwa kwa habari ya carrying subject huwa ni mara ngapi kulirudia hilo somo au hakuna limit? na je kuna hasara yeyote unayoipata zaidi ya ile ya kupoteza muda tu na kuwa na mzigo nyumba wa hilo somo? pia mnisaidie kwa mwaka wa pili wa degree unakuaje mtu...
  7. kali popote

    Kuna binti amenipenda sana ingawa ni mchumba wa mtu na wamezaa mtoto mmoja na mumewe anampenda sana

    Habari za asubuhi JF, Nianze kwa kusema kwa ufupi sana. Mimi ni mwenyeji wa Arusha katika pita pita zangu nilikutana na binti kwa muonekana ni mzuri na mrembo sana nikampenda akanipenda na kuanza mahusiano ya kimapenzi. Muda kupita nikajagundua yule binti kumbe alikuwa na mume wake na...
  8. kali popote

    Naombeni mnisaidie Roma Mkatoliki ni nani, means wasifu wake

    Nisaidieni wasifu wake.
Back
Top Bottom