Search results

  1. kali popote

    Degree yangu leo nakata USHURU moja ya masoko jiji huku kaskazini mwa tz

    Umenishauri vizuri mkuu nitaufanyia kazi ushauri huu mzurii
  2. kali popote

    Degree yangu leo nakata USHURU moja ya masoko jiji huku kaskazini mwa tz

    Mke ameajiriwa anauza moja ya hardware ya mtu hapa town....ila kamshahara ni kadogo sana kwa mwezi....analipwa 160k per month
  3. kali popote

    Degree yangu leo nakata USHURU moja ya masoko jiji huku kaskazini mwa tz

    Wangwaana wote niwasalimu Mimi ni msomi ngazi shahada ya ugavi,niliohitimu moja ya chuo hapa tz miaka mitatu iliyopita,kinachoniumiza nimeshindwa kuitendea haki taaluma yangu hadi sasa nimeamua kujiingiza kwenye ajira ya mkataba ni mwaka wa tatu sasa napambana na ushuru wa masokoni kwenye...
  4. kali popote

    Changamoto ya COVID19: Madereva wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya

    Kajeurii si aongee Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kali popote

    Soko maarufu la Samunge jijini Arusha linaungua moto laungua kwa moto

    Soko la samunge likiteketea moto Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kali popote

    Soko maarufu la Samunge jijini Arusha linaungua moto laungua kwa moto

    Samunge aseee Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kali popote

    Ukipata mwanamke mwenye sifa hizi oa tu

    Hahaaaa daaah Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kali popote

    Tabia gani za wanawake huwa zinakushangaza sana?

    Aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kali popote

    Kufanya kazi mkoani Mbeya

    Vipi hapo TIA mkiramweni na mwakinyuki, mbasya bado wapo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kali popote

    Tupia Definition moja ya Secondary unayoikumbuka

    Rejesta ni mtindo wa Lugha unaotumika katika mazingira maalum.... Mfano: Rejesta ya hotelini 1.Lete chai chapati Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kali popote

    Kwenu wanawake/ akina mama

    Fact Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kali popote

    DIWANI wa CHADEMA ARUSHA ahamia CCM

    Na wasakina nae ashajilndokea Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kali popote

    DIWANI wa CHADEMA ARUSHA ahamia CCM

    Diwani wa CHADEMA Kata ya Ngarenaro jiji la Arusha, Isaya Doita leo rasmi tarehe 12/03/2020 amejiunga rasmi chama Cha mapinduzi, ni dhahiri madiwani wetu wa CHADEMA jiji la Arusha wanaisha sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom